Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #41
Aisee ivi kumbe na nyie wa kariakoo ni mateso mimi nilijua ni sisi wa posta tuKuanzia leo nitaenda K,koo na Mwendokasi ila nitarudi na Bajaj.
Sio kwa mateso ya leo. Nimeingia stand saa 11 jioni ila nimepanda gari saa moja tena kwa kurukia gari kama chui anaemdaka nyumbu