Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Bajaj mbezi kariakoo 2000, kwanza kabisa risk pili ukipiga hesabu ya mwezi usafiri na kula tu inaweza zidi mshahara. Hii inchi rushwa haitaisha maana watu wanaishi kuliko kutumia kuliko wanachokitegemea.Kuanzia leo nitaenda K,koo na Mwendokasi ila nitarudi na Bajaj.
Sio kwa mateso ya leo. Nimeingia stand saa 11 jioni ila nimepanda gari saa moja tena kwa kurukia gari kama chui anaemdaka nyumbu
We mwanamke unapozungumzia swala la kulima utadhani huko mashambani hakuna watu wanaolima, hicho kilimo chenyewe unasema waliopo huko wana kila kitu na bado wanalalamika.Poleni.Uvivu tu wa kulima.Kwani lazima muishi Dar?
Tukilima wote hayo mazao tutamuuzia nani?Poleni.Uvivu tu wa kulima.Kwani lazima muishi Dar?
Mateso wanayopitia wapanda mwendo kasi, tungeyapata watu wa mikoani tungesemwa sanaaaaAmani iwe nanyi watanzania
Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki
Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha
Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi alafu wanataka tuwachague tena
Inauma sana kuongozwa kibabe namna hii na watu wasio na uwezo kuwa viongozi wa darasa la tano B
Mwendokas ni mateso jaman
MWENYEZI MUNGU mwenyewe aingilie huu ugomvi
LONDON BOY
Inawezekana kabisa. Maana mtu unasubiri gari masaa mawiliMsukuma anakwambia kati ya magari 300, 15 ndiyo yanafanya kazi.
Kwani alifanyaje kuhusu mwendo kasi? Maana matatizo ya mwendokasi ni yale yale kuna watu kipindi cha jpm walikuwa wanalalamika abiria wamejaa stand madereva wanapita wakiwa na magari matupu.Halafu kuna mtu anatuaminisha JPM alikua mtu mbaya sana
Wewe unamteua mkurugenzi, ambaye shirika hata likila hasara hakuna uwajibakaji, bado liendeshwe kwa hasara na ruzuku wakati halina.mshindani.Awamu ya sita ya mama hakuna wanachoweza.wanachoweza ni kusafiri tu kwenda kushangaa Kwa wenzetu walivyojenga Nchi zao vizuri
Kwabendera ni Mganda sampuli ya General Muhoozi Kinelugaba msome post zake ukiingia X kichwani kuna nati zimepeleaHalafu kuna mtu anatuaminisha JPM alikua mtu mbaya sana
Walifanya hivi makusudi otherwise wasingepata hela wanazopata sasa,na yakipungua wanaulizana imekuaje.Ndugu tunateseka unasubili gali masaa mawili kama ndege na habati mbaya kutoka posta mpaka kimara daladala waliziua
Duuihdu aiseeeInashangaza sana
kwani JPM ndiyo aliyeanzisha mwendo kasi?Halafu kuna mtu anatuaminisha JPM alikua mtu mbaya sana
Ujenzi wa barabara hasa ya Morogoro road ulifanywa na JK, uzinduzi wa mabasi ukafanywa na JPM. JK alimpaga yule jamaa anaitwa Kisena if I'm not mistaken, JPM akaona kama kuna namna pale, akapiga chini lile deal, wakapewa UDART.kwani JPM ndiyo aliyeanzisha mwendo kasi?