Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
 
Ukienda shule maarufu za kata kama vile Feza schools and CO.LTD, utawakuta wa kutosha tu, lakini pia na tabia zao utazijulia huko huko.

Na usisahau kwenye hizo shule zenu za gharama kubwa za St. Kayumba, basi muendelea tu kutuwakilisha sisi matajiri wenzenu, mpaka siku ya kiama.
 
Nimesoma na watoto wa Hakimu Wa Wilaya, primary mpaka ordinary level
 
Sikuhizi hadi watu wa kipato cha chini kama wauza genge na bodaboda wanapeleka watoto english medium schools kwa pesa ya upatu na kikoba sembuse mtumishi wa serikali mwenye mshahara, posho, mianya ya rushwa na marupurupu
 
Mkuu kwani hata wewe ukiwa na pesa utapeleka wanao kayumba? Mbona kujitaabisha
 
Back
Top Bottom