Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

Sikuhizi hadi watu wa kipato cha chini kama wauza genge na bodaboda wanapeleka watoto english medium schools kwa pesa ya upatu na kikoba sembuse mtumishi wa serikali mwenye mshahara, posho, mianya ya rushwa na marupurupu
Ni kweli mkuu kikubwa Nia tu
 
Mm nilisoma na mtt wa kigogo flan shule ya vidudu ktk kata yetu
 
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
mimi hapa nilisoma na mjukuu wake kinjengetile ngware.... karbun kwa mijadala lakn natak mujue kinjegetile ngwale nae alkuw n kiongoz
 
Mbona enzi zetu shule zetu tulikuwa tunasoma na watoto wa wakubwa
Mnachanganywa wote
Naona kuanzia miaka ya 2000 kulipotokea mabadiliko ya mashule ndiyo vigogo nao wa sasa wamebadilika

Ova
 
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Kiongozi yupi mkuuu,Shule ya msingi Tumaini ipo Tabata kimanga nimesoma na watoto wa viongozi wote hata mimi,na viongozi hao walikuwa wanaongoza familia zao wengine mabalozi wa nyumba kumi na wajumbe.
 
Ukienda shule maarufu za kata kama vile Feza schools and CO.LTD, utawakuta wa kutosha tu, lakini pia na tabia zao utazijulia huko huko.

Na usisahau kwenye hizo shule zenu za gharama kubwa za St. Kayumba, basi muendelea tu kutuwakilisha sisi matajiri wenzenu, mpaka siku ya kiama.
[emoji22]
 
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Mimi nimesoma na watoto wa ditopile ,ni mapacha Mariam na miraji ditopile japo walikuwa wamenipita madarasa mawili, mlimwa primary school, Dodoma
 
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Mtoto wa Nyerere, aliitwa Joseph Nyerere ivoivo! tulisoma nae paleee Ihungo sec.school! ni wakawaida sana, japo walikuwa wanapewa kipaumbele cha special diety na shule lkn ni wa kawaida sana!
 
Mtoto wa kiongozi hawezi kuwa "kayumba".
Mawee! Sudi Nyemele chipukizi wa chama, Liliani Nyemele hawa watoto wa mnene top! walisoma shule ya kawaida saaaana! ila Lilian kalikuwa kazuriiii!....ila waliogopwaaaaa heee!!
 
Back
Top Bottom