Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Uzuzu unakusumbua, sasa wewe utafikia hizo 55yrs innings?,welldone @jonhthebabtist endelea kuishi vema, afya bora ni muhimu mnoSasa wewe ulisoma kabla ya shule za kata joo ujue Sasa unafukuzia 55's sio kijana Tena wewe
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni 2000s siyo 1970s,pesa yako itaamua ule mgahawa ganiHadi yule kiongozi wa malaika/kiongozi wa wanyonge hakua na mtoto huko uswekeni,madogo walikua Kwny zile shule za 'Dady I adore u'.
Nitajikakamua asome angalau za kijanja kidogoMkuu kwani hata wewe ukiwa na pesa utapeleka wanao kayumba? Mbona kujitaabisha