Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu kikubwa Nia tuSikuhizi hadi watu wa kipato cha chini kama wauza genge na bodaboda wanapeleka watoto english medium schools kwa pesa ya upatu na kikoba sembuse mtumishi wa serikali mwenye mshahara, posho, mianya ya rushwa na marupurupu
Lugalo ni shule ya kata?Mimi nilisoma na Jomo Kabongo na Madiba Kabongo pale The Highlands lakini dada yao alisoma Lugalo shule ya Kata
Kabongo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa
NdioLugalo ni shule ya kata?
mimi hapa nilisoma na mjukuu wake kinjengetile ngware.... karbun kwa mijadala lakn natak mujue kinjegetile ngwale nae alkuw n kiongozPasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Kiongozi yupi mkuuu,Shule ya msingi Tumaini ipo Tabata kimanga nimesoma na watoto wa viongozi wote hata mimi,na viongozi hao walikuwa wanaongoza familia zao wengine mabalozi wa nyumba kumi na wajumbe.Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
[emoji22]Ukienda shule maarufu za kata kama vile Feza schools and CO.LTD, utawakuta wa kutosha tu, lakini pia na tabia zao utazijulia huko huko.
Na usisahau kwenye hizo shule zenu za gharama kubwa za St. Kayumba, basi muendelea tu kutuwakilisha sisi matajiri wenzenu, mpaka siku ya kiama.
Mimi nimesoma na watoto wa ditopile ,ni mapacha Mariam na miraji ditopile japo walikuwa wamenipita madarasa mawili, mlimwa primary school, DodomaPasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Mtoto wa Nyerere, aliitwa Joseph Nyerere ivoivo! tulisoma nae paleee Ihungo sec.school! ni wakawaida sana, japo walikuwa wanapewa kipaumbele cha special diety na shule lkn ni wa kawaida sana!Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Mawee! Sudi Nyemele chipukizi wa chama, Liliani Nyemele hawa watoto wa mnene top! walisoma shule ya kawaida saaaana! ila Lilian kalikuwa kazuriiii!....ila waliogopwaaaaa heee!!Mtoto wa kiongozi hawezi kuwa "kayumba".
Mashishanga alikuwa mshamba aka zobaMie nakumbuka shule ya msingi nilisomaga na mtoto wa mkuu wa mkoa kipindi hicho bwana steven mwasishanga