PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.
Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma ilikuwa inapenda mlima kama inashuka vileee!!!
Kwenye overtaking inakupa kujiamini mno na niliweza kuovertake magari manne bila shida( mfumo wake wa sport na sport sharp# ni kama unaendesha fighter jets)
Kama mateso kuna madereva nimewatesa Sana njiani hasa wale wanaopenda ligi.
Compact crossover Ambazo ukizifuata unapotea ni Mazda CX5
....mazda CX 5 zina balaa Sana hii gari ikikupita achana nayo usijaribu kuifuata maana Moto wake sijaona WA kuifananisha, Kwa segment ya crossover sijaona bado WA kuikalisha hii Mazda CX5
Ukiachana na land cruiser LC 200 na LC 300 kuna Prado TXL na Baba lao FORD RANGER hizi gari usijaribu kubishana nazo
madereva ambao wanapenda kutunisha misuli msijaribu kwa FORD RANGER hii ni habari nyingine,hii gari nahisi inaongoza Huko barabarani Kwa kumwaga moto maana kama V8 ilikuwa inakalishwa wewe ni Nani unataka kufata huu Moto?
Hadi namaliza safari yangu sijaona gari inakimbia kama ford ranger......
Kila kheri madereva!!!!!