Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Ume factor in weight ya L 200 vs weight ya Ford Ranger?
Weight to power ratio nayo inachangia kwenye mwendo.
Amesema umbali na muda zinaotumia, hajasema hp pekee, mahesabu ya weight to power tayari yamejumuishwa kwenye muda ziliotumia kufika hizo speed.
 
Kuifananisha 1VD ya LC200 na Ranger ni kama kuitusi. VX-R ina 260 kwenye dashboard mzee. Ford inakimbia ila mwisho wake ni 185KPH hata iende vipi na ndio maana ikikutwa na Hilux Revo au Bombardier lazma ikalishwe. Hilux inapiga 200kph kuifikia limiter.
Kuna LC 200 version ya USA, inamwaga moto vibaya sana..
Engine(3UR-FE) ina 5.7L V8 hio na power ya 381hp, 8 transmission..
Hizi nyuma hazina badge za VX-R wala GX n.k , imeandikwa tu Land Cruiser hakuna trim level indicator yeyote...(Ukiona hivyo kimbia).
Zinakuwa LHD, Taa za nyuma zinakuwa na reflector za ziada, ndani zina screen kwa siti kwa ajili ya siti za nyuma..
 
Uko serious unatuanbia Subaru iko vizuri halafu unasema hakuna gari ya kuikalisha Mazda CX5, hii ya 2.2 diesel au kuna ingine? Vijana tafuteni magari muendeshe kabla ya kuja na conclusion.
Huyu mleta mada miyeyusho sana kumbe na ww umemsoma
 
Naijua vizuri boxer engine. Haiitwwi hivyo kwasababu iko kama box. Inaitwa hivyo kwasababu gari piston nne zi.epangwa mbili kulia mbili kushoto. The way zinazungusha engine ni kama mabondia wanarushiana ngumi hence the name boxer engine.
Jamaa anazingua sana boxer ni box?😂😂😂😂 hajui kuwa piston zina enda horizontal and not upwards as others
 
Back
Top Bottom