Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Si ujana maji ya moto!!!! Na dereva anaejielewa, kuna ujinga hawezi kufanya barabarani. ungesema gari la raisi ningekusupport. Subiri ulambe mueleka, na Mola akunusuru ndo utakuja kuhadithia hizo habari za moto kuotea mbali. Sasa hivi tukifikisha 80km/h akili zinacheza sebene!!!!
 
Subaru over 100 speed.. zinakua nyepesi kama karatasi.. kupepesuka njiani
Ila wabongo tuna kazi kubwa Sana...wewe umeendesha Subaru ipi?
Kumbuka forester non turbo steering wheel yake ni electronic.
Karibu siku moja XT hii ni hydraulic wheel unamaliza sahani na bado hausikii kitu, achana na hii gari ndugu
 
Kaka V8 ni habari ingine, Ranger iko vizuri ukiifata uwe na kifua ila usitune njiani kaka utapasuka barabara zenyewe full mashimo na mawimbi
Gari hua Ni uwezo tu wa dereva kua kichaa.Nishakimbizana na Ford ranger T6 nikiwa na gx110,mpk mwenye hio Ford akaja kunisalimia kwny msosi Singida hio.Akaniambia mdau hii kitu si mchezo
 
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.

Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma ilikuwa inapenda mlima kama inashuka vileee!!!

Kwenye overtaking inakupa kujiamini mno na niliweza kuovertake magari manne bila shida( mfumo wake wa sport na sport sharp# ni kama unaendesha fighter jets)
Kama mateso kuna madereva nimewatesa Sana njiani hasa wale wanaopenda ligi.

Compact crossover Ambazo ukizifuata unapotea ni Mazda CX5

....
mazda CX 5 zina balaa Sana hii gari ikikupita achana nayo usijaribu kuifuata maana Moto wake sijaona WA kuifananisha, Kwa segment ya crossover sijaona bado WA kuikalisha hii Mazda CX5

Ukiachana na land cruiser LC 200 na LC 300 kuna Prado TXL na Baba lao FORD RANGER hizi gari usijaribu kubishana nazo

madereva ambao wanapenda kutunisha misuli msijaribu kwa FORD RANGER hii ni habari nyingine,hii gari nahisi inaongoza Huko barabarani Kwa kumwaga moto maana kama V8 ilikuwa inakalishwa wewe ni Nani unataka kufata huu Moto?

Hadi namaliza safari yangu sijaona gari inakimbia kama ford ranger......

Kila kheri madereva!!!!!
Unakimbia kumfurahisha nani?
Ajali zinazuilika ukiamua, hazizuiliki ukiamua pia! Uamuzi ni wako....
 
Gari hua Ni uwezo tu wa dereva kua kichaa.Nishakimbizana na Ford ranger T6 nikiwa na gx110,mpk mwenye hio Ford akaja kunisalimia kwny msosi Singida hio.Akaniambia mdau hii kitu si mchezo
Barabara zetu maeneo mengi zinaruhusu mwendo mpaka 170kph hivi. Yaani kabla hujafika 180 au 200 kuna kitu, aidha kona,tuta,Lori etc. Kwahio ukiwa na Gx110 au Crown au Mark X unaweza kusumbuana na mtu mwenye gari yenye top speed 200÷ kwasababu hatapata sehemu ya kufikisha hio 200+ so mtacheza kwenye 140-180 ambapo Crown na ndugu zaje ni kugusa.
 
Uko serious unatuanbia Subaru iko vizuri halafu unasema hakuna gari ya kuikalisha Mazda CX5, hii ya 2.2 diesel au kuna ingine? Vijana tafuteni magari muendeshe kabla ya kuja na conclusion.
Nadhani CX5 ya Petrol.....hizi za Diesel nyanya haswa zinachemsha na kufa engine kirahisi sanaaas......shida nini? Nimeona kama 3 hivi.....engine zimekufa
 
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.

Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma ilikuwa inapenda mlima kama inashuka vileee!!!

Kwenye overtaking inakupa kujiamini mno na niliweza kuovertake magari manne bila shida( mfumo wake wa sport na sport sharp# ni kama unaendesha fighter jets)
Kama mateso kuna madereva nimewatesa Sana njiani hasa wale wanaopenda ligi.

Compact crossover Ambazo ukizifuata unapotea ni Mazda CX5

....
mazda CX 5 zina balaa Sana hii gari ikikupita achana nayo usijaribu kuifuata maana Moto wake sijaona WA kuifananisha, Kwa segment ya crossover sijaona bado WA kuikalisha hii Mazda CX5

Ukiachana na land cruiser LC 200 na LC 300 kuna Prado TXL na Baba lao FORD RANGER hizi gari usijaribu kubishana nazo

madereva ambao wanapenda kutunisha misuli msijaribu kwa FORD RANGER hii ni habari nyingine,hii gari nahisi inaongoza Huko barabarani Kwa kumwaga moto maana kama V8 ilikuwa inakalishwa wewe ni Nani unataka kufata huu Moto?

Hadi namaliza safari yangu sijaona gari inakimbia kama ford ranger......

Kila kheri madereva!!!!!
Mkuu mbona hueleweki mara subaru mara ford ranger😂 ebu tulia
 
Mkuu soma vizuri mada yangu sijafananisha Subaru na magari mengine Bali nimesifia jinsi inavyoperfom pia nimegusia na magari mengine ambayo yanamwaga Moto kama ford ranger..

Mada hii nimeelezea namna Subaru inavyopasua mawimbi hata hizo Prado TXL nimesifia na kukubali Moto wake, kumbuka sijafanya ligi na hizo gari nilizotaja
 
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.

Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma ilikuwa inapenda mlima kama inashuka vileee!!!

Kwenye overtaking inakupa kujiamini mno na niliweza kuovertake magari manne bila shida( mfumo wake wa sport na sport sharp# ni kama unaendesha fighter jets)
Kama mateso kuna madereva nimewatesa Sana njiani hasa wale wanaopenda ligi.

Compact crossover Ambazo ukizifuata unapotea ni Mazda CX5

....
mazda CX 5 zina balaa Sana hii gari ikikupita achana nayo usijaribu kuifuata maana Moto wake sijaona WA kuifananisha, Kwa segment ya crossover sijaona bado WA kuikalisha hii Mazda CX5

Ukiachana na land cruiser LC 200 na LC 300 kuna Prado TXL na Baba lao FORD RANGER hizi gari usijaribu kubishana nazo

madereva ambao wanapenda kutunisha misuli msijaribu kwa FORD RANGER hii ni habari nyingine,hii gari nahisi inaongoza Huko barabarani Kwa kumwaga moto maana kama V8 ilikuwa inakalishwa wewe ni Nani unataka kufata huu Moto?

Hadi namaliza safari yangu sijaona gari inakimbia kama ford ranger......

Kila kheri madereva!!!!!
Unaandika kabisa uliweza kuzi overtake gari nne bila shida ungematwa na traffic ungejua shida ipo. Sheria inakukataza kuo overtake gari zaidi ya moja kwa mpigo harafu wewe unajisifu
 
Back
Top Bottom