Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Kuna ford ranger iliwahi kunipita nikiwa around 170km/hr aisee kwanza nilistukia hii hapa kwenye side mirror na ilikuwa ni flat terrain lakini ili disappear si zaidi ya dakika 1 wakati barabara ilikuwa imenyoooka
Kuna watu mnatafuta vifo. Mi gari yangu ina 260 but huwa sivuki 160, pole sana, unajua miundombinu yetu hairuhusu hizo spidi
 


Toyota LC 300 series, 2024 latest model
Engine: DOHC V6 Cyl. - TWIN TURBO 24V, EFI, DUAL VVTi, 3445 cc, Power HP: 409, Torque KgM: 66.2, Cooling system: liquid
Fuel: Unleaded gasoline / 110 l (dual)
Transmission: 10- A/T multy mode, 4WD Full time
Suspension: Front: DBL Wisbone (IND), Rear: 4 link
Dimensions: 5130 x 1980 x 1945 mm
Ground clearance: 235 mm
Wheelbase: 2850 mm
Safety: Five-star safety rating from the Australasian New Car Assessment Program (ANCAP)
Convenience and safety features: 220V power outlet, cruise control, and front and rear door courtesy lamps
Transmission: Newly developed AJAOF 10-speed automatic transmission

Hii gari achana nayo kabisa that Power 409 HP under the hood ni hatari sanaa, barabarani ni kama ndege imekupita..!! Nikikuacha hutaniona tena..!! Top speed 260km/hr, tofauti na BMW or Range Rover ni kwamba LC 300 is very very powerful, yaani kama matairi hayagusi chini, and very very stable barabarani, usipokuwa makini unakuta uko 220km/hr ila gari iko very very stable na utadhania hukimbii sana maana utaona unapita gari zingine kama zimesimama tu, ni kuwa makini sana ukiwa unaendesha LC 300

You need to pimp with Liberty Walk body kit, hatari sana kama hii 👇, hii gari acheni kabisa, but you need to pimp it upate ladha yake

Or Wald Body Kity
 
Toyota na stability hawakai sentence moja hasa hasa ukishahusisha magari ya mzungu. LC300 is just another Toyota.
 
Toyota kwenye LC 300 ameboresha kiasi kikubwa kwenye transmission, series za LC walikuwa wanaishia kwenye 6 speed transmission lkn kwenye lc300 wametisha Sana
 
Hayo ya kitoto chuma HAMA
 
Dogo acha ushamba wa kif Dogo acha ushamba wa kisukuma , siku ukiendesha chuma cha pua kama Jeep wrangler si ndio utakufuru kabisa wewe ?, maana hizo zote unazoziita gari ni takataka mbele ya Jeep wrangler katika kila angle
 
Kuna muda unakuwa barabarani, mtu anatoka speed anakupita kumbe yeye anashindana na wewe wakati wewe huna hata habari kama aliyekupita yuko kwenye mashindano
na hii ipo hata kwenye maisha ya kawaida kabisa,..kuna watu wanajinyima kuhakikisha wanajenga kabla yako, maana wewe uliwahi kununua kiwanja kuliko wao,...wakati huo wewe huna ratiba kabisa ya kujenga, ni mwendo wa bata tu,...✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…