Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Katiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.

Na sio Quran tu hata Toráh ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
 
Naona mnafundisha watoto ujinga
20230709_063225.jpg
 
Aliyechoma msahafu mmoja nchini Sweden. Misahafu elfu moja imeinuliwa na kisomo cha pamoja nchini humo siku chache baadaye.

Sasa misahafu 1000 italeta suluhisho gani/nini? Mbona misahafu hiyo mmeiinua Palestina miaka elfu hakuna lolote.

SOLUTION: Tokeni nchi za watu nendeni kwa ndugu zenu Arabia, arab world

1689235338977.jpeg

Aliyechoma msahafu mmoja nchini Sweden. Misahafu elfu moja imeinuliwa na kisomo cha pamoja nchini humo siku chache baadaye.

Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
 
Hizi taarabu zenu zili ishia wapi kwa wale walio mpiga risasi lissu
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Kwa Mungu hakuna nchi ya Fulani,hao Wala kitimoto wakienda nchi za watu wakafanya utumwa na kuwatumikisha watu bila ujira au ujira kiduchu,Sasa hivi ni zamu ya waliowafanyia ukoloni kwenda kwao
 
Katiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.

Na sio Quran tu hata Toráh ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
So!?..by the way,Kuwait wamechapa nakala za laki moja za tafsiri ya Qur'an kwa kiswidi,zitaweka library za Sweden ikiwemo kwenye taasisi za elimu pia...subiri uone watavyosilimu
 
Hilo swala la kusilimu ni sherehe kwenu.

Hivyo na nyie msivuruge amani kwenye sherehe za wenzenu wanapochoma hizo Quran ambazo walizinunua kwa pesa zao
 
Back
Top Bottom