Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Iran, Pakistan, Afghanistan, Qatar, Brunei, Sudan, EAU, Mauritania and Saudi Arabia.Sikutegemea kuandika utopolo kama huu mithili ya dunduka.
Points no 2 ni moja kwa moja ni weakest point .Nitajie nchi kumu zinazotekeleza sheria hiyo hapa duniani , vipi huku bongo ,UK ,Syria ,Oman ,Dubai ,Qatar , Morocco , Egypt ,Albania ,Turkey ,Turkimenistan ,Tajikstan na Kazhakstan wanachinja ?
Tena hata nchi za kiarabu na zenye Waislamu wengi watu wanaenda wanachagua wanapopataka kwa uhuru bila kuchinjwa na huko Makanisa yapo mengi.
Ukweli ni kwamba misingi ya dini ya kiislamu inajenga mtu kiimani ya sawasawa inakuwa ngumu kusilimu hata awe mlevi kichwani anajua uislamu ni haki na bila uislamu atakufa katika hasara kubwa.Ndio maana humu Jf hata ulimwenguni Atheism wengi wanatoka upande wa ukiristo kulinganisha na Uislamu.
Na tena Pakistan juzi wameongeza sheria nyingine mpya ya adhabu ya kifo kwa mtu ataye mkashifu Muhammed.
Hizo nchi kuna high rate of apostasy