Issue mkuu wewe ni kigeu geu hujaongea unachokiongea sasa hivi hii screenshot yako
View attachment 2690130
1. Ulisema Conversion ni chache
2. Ukasema Main reason ya Conversion ni Marriage
Maneno. Yako mwenyewe hayo sio yangu ama kama nakusingizia sema.
Mjadala wote ukatokea hapo.
1. Nimeprove kuna Conversion hadi asilimia 25 ambayo si Ndogo kwa Sehemu yenye Waisilamu milioni 4
2. Nimeprove Mariage sio Main Conversion issue, Watu wamesilimu sababu ya Malcom, watu wanasilimu Jela, watu wanasilimu kutafuta identity zao etc.
Sasa mwenzangu unaruka ruka kutafuta sababu nyengine juu kwa juu.
Mimi ni mtu mzima wala sipaswi kubishana cheaply hivi, tuishie tu hapa mkuu.
Najitahidi kusoma mara mbili mara mbili nione ni wapi nimeji contradict nashindwa kuona hiyo sehemu.
Kiukweli nilisema kuna conversion chache hilo sipingi.
Lakini kama utakuwa unakumbuka awali tulikuwa na mjadala wa ongezeko la waislamu wengi Ulaya.
Ambapo wewe ulikuja na hoja kuwa hilo ongezeko limesababishwa na watu wa Ulaya kusilimu. Sijui kama unakumbuka.
Mimi nilikuja kupinga hoja yako tena kupitia reference yako uliyoiweka kusapoti hoja yako ambayo reference ilisema ongezeko limechangiwa na idadi kubwa ya migrants.
Baada ya hapo ndio tulipoanza mjadala wa conversion ambapo mimi nilikubali kuwa conversion zipo ila kwa asilimia kubwa conversion zilizochukua waumini wengi zili base kupitia ndoa.
Hoja ikawa nitoe reference.
Nika point some articles zilizofanya research ambapo moja ya reference niliyokupa ilikuwa na title ya "Islam spread through the Christian world via the bedroom"
Lakini bado ukaja na hoja nyingine kuwa Malcom alikuwa Muislamu na aliweza kushawishi wamarekani wengi kusilimu.
Na ukaenda mbali kuhoji, je hao watu nao walishawishiwa na ndoa?
Huko kote nilitoa majibu kuelezea kwanini hilo liliwezekana.
Malcom alikuwa na influence power, alikuwa kwenye peek ya umaarufu wake ambapo watu wengi walipenda itikadi na falsafa zake.
Nimegusia baadhi ya vyanzo ambavyo vinaeleza kuwa Malcom X alikuwa anachukiwa na mataifa mengi ya kiarabu kutokana na umaarufu wake ulioleta hofu kwa waislamu kuwa angeweza kumfunika Muhammad.
Na inasemekana kuwa hata kifo chake kilisababishwa na Muslim nations.
Kuhusu kusilimu jela sijui wapi sijaeleweka.
We umekuwa unasisitiza kuhusu sources lakini kumbe hata ukiwekewa bado nakuwa sijafanya kitu.
Ndio najua we ni mtu mzima na wala hakukuwa na lazima kusema hivyo ili kuthibitisha, mjadala tunaoufanya kinidhamu bila kashfa unaonesha wote hapa ni watu wazima.