Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Dini ya kislamu inajua kutunza wanawake tu lakin the rest material things ni wastes
 
Kuna watu bado mnaamini ktk dini? 😂😂😂

Dini zote ni utapeli.
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Mbona nao huchana na kukojolea biblia?
 
😅🤣 Hawa wavaa kanzu wapumbavu sana, hawanaga akili kabisa... Kwahio wakiinua juu ndio majini yataruka... Halafu kama mnataka haki si mbaki nchi zenu za kiarabu tuone mtakavyo kufa kwa dhiki umasikini ufukara na njaa...
 
Acha kutupanga.

Kama Uislam unasolve mambo mengi kwenye jamii, kwa nini jamii za dunia hazikimbilii kuishi kwenye nchi za kiislam?

Kwa nini hata jamii ya nyie waislam haikimbilii kuishi kwenye nchi za kiislam?
Badala yake wote nyie wanafiki mnakimbilia kwenye Christian majority countries?
Kila siku humu napost proof, Nchi za kiislamu ndio zinapokea wakimbizi wengi kuliko zote, hata uzi huu nimepost ila jamaa wagumu kweli kuelewa

Hizi ndio Nchi 5 Duniani zinazopokea wakimbizi wengi Duniani

Türkiye3.6 million
Islamic Republic of Iran3.4 million
Colombia2.5 million
Germany2.1 million
Pakistan1.7 million

Source UNHCR
 
Wakislimu wewe itakusaidia nini...vurugu tu kila sehemu..kwa hiyo na wakristu nao waprinti bible waweke, wayahudi nao, wahindu nao..hiyo itakuwa librazy au??Nyie watu kila sehemu mkienda mnataka haki kuliko hata za wenyeji...nyie hamfundishwi tolerance kabisa...
Wenye library wamekubali,we upo mbozi unatokwa mate kulalamika,kawatawaze nguruwe
 
Wasilimu kwa sababu Quran ipo library?

Hivi nyie wavaa kobazi mbona akili zenu zinachekesha sana?
Wazungu siyo Kama wewe,wao wanaenda kwa hoja,mwanasiasa na kiongozi wa chama ujerumani alikua msitari wa mbele kupinga uislam,akapata nakala ya Qur'an kwa kijerumani Leo kaacha kile chama anaswali kuelekea Makkah,siku si nyingi habari za waswidi kusilimu zitakuja hapa na utauliza inanisaidia nini mswidi kusilimu,baada ya September 11 vitabu vya dini ya kiislam viliadimika marekani na ulaya,Leo huko Kuna waislam wengi tu Hadi akina ice cube
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Na nyinyi wakristo pia kwenu ni hapo hapo uarabuni yani middle eastern alipozaliwa yesu huko ulaya mmevamia
 
Kitu ambacho mpaka sasa umeshindwa ku prove, ingekua ni Common ungeshaleta hata research za uchochoroni kuprove ile umeshindwa.
So zile screenshot nilizokuwa nakuwekea zingine nikizungushia duara kumbe ulikuwa huzioni?
Zimeelezewa, Links zote zimeeleza mpaka ya BBC ambayo sio paywall ila husomi. Mfano huyo dada wa BBC kwake uisilamu ni fresh start, ametoka kwenye Utumwa wa Ku apply make Up na muda wote atoke akiwa amependeza, ila kwake sasa Hivi uisilamu unampa freedom ya kutokua Judged
BBC imezungumzia individual story ya binti aliyekuwa anaitwa Aisha aliye silimu na hii sidhani kama ni hoja ambayo mimi nilikuwa naipinga.

Haijazungumzia majority as a main factor bali katikati ya stori imepenyezea tu zile takwimu za 100k kutoka pew. Ambazo hizo zimekuwa influenced na migration walio oa non muslim kisha wakawabadili dini.
Kwa Marekani aliefanya watu wengi ku Embrace uisilamu ni Malcom X, je Malcom X alisilimisha watu kwa kuoana ama struggle zake za Ubaguzi wa Rangi?
Watu wengi wangapi?

Kwanza Malcom alikuwa yupo kwenye peek ya umaarufu watu wengi walimfuata na kuiga msimamo wake kwakua tu wanakubali falsafa zake.

Na zipo stori ziasema Nchi za kiarabu ndio zilizomuua jamaa walihofia umaarufu anaoupata mchizi na kasi yake unavyozidi kukua waliona anaweza kumpiku Muhammad.
Sasa hivi Jela Nyingi Marekani ni kitovu cha kusambaza uisilamu, wengi wakienda wakitoka wanakua Waisilamu hii nayo ni Marriage?

Soma hapa conversion za Jela, Asilimia 80 ya wanaobadili dini Jela wanakua waisilamu

Wafungwa wana convert kwasababu ya maslahi yao.

1689496664248.png


Kipindi cha ramadhani wafungwa wa kiislamu wanapewa double portions so inambidi aslimu ili kupata anachotaka.

Research zingine ziliwahi kufanyika zilionesha wafungwa wanasilimu wa ajili ya kutengeneza magenge ya kihalifu.
1689497162054.png

1689497088011.png

Source Inside time

Halafu kuna factor nyingine kandamizi inaita "jizya" hii inafanywa kwenye jela nyingi ambazo zipo kwenye nchi za Kiislamu. Wafungwa wasiokuwa waisamu hulazimishwa kulipa kodi ya ulinzi, hii huwalazimu kusilimu ili kuepukana na kero hiyo.

Soma hapa link
 
Wazungu siyo Kama wewe,wao wanaenda kwa hoja,mwanasiasa na kiongozi wa chama ujerumani alikua msitari wa mbele kupinga uislam,akapata nakala ya Qur'an kwa kijerumani Leo kaacha kile chama anaswali kuelekea Makkah,siku si nyingi habari za waswidi kusilimu zitakuja hapa na utauliza inanisaidia nini mswidi kusilimu,baada ya September 11 vitabu vya dini ya kiislam viliadimika marekani na ulaya,Leo huko Kuna waislam wengi tu Hadi akina ice cube
Hahahaah..... Kwa hiyo baada ya kuua wasio na hatia September 11 watu wakaupenda Uislam na kusilimu.
Waja wa mnyaazi mna vituko sana.

Ndani ya hii miezi 3, Quran imechomwa mara 2 Sweeden, last month hapo Tweeter zilichomwa live Quran zaidi ya 5 live-live. Week hii Germany Quran imechanwa na kutupwa nje ya gari.

Hao wanaofanya hivyo wote si wana Copy za Quran? Mbona hawajasilimu sasa badala yake wameishia kuzichana pamoja na vitisho vyote na maandamano yenu?

Hao Waswidi wanaochoma Quran si wanayo hiyo Copy ya Quran na wameisoma?

Mbona wanaichoma sasa badala ya kusilimu?
 
Kuna Njia kibao watu wana Embrace uisilamu sababu ni complete way of life, ila unazi ignore zote na kutunga zako ambazo hazina proof.
Njia gani zile za jela za kuwatoza faini wasio waislamu?
Matabaka Gani? Sehemu zote west utakapokuta waisilamu basi watakua rangi zote na Race zote pamoja, Msikitini pekee ndio utakuta mpiga deki ama mtu dhalili kwenye Society anaongoza swala na watu wa Rangi zote wamepanga safu bega kwa bega mguu kwa mguu wakimuomba mola wao.
Ingekuwa ni hivyo basi waarabu wasingefanya biashara ya kununua watumwa.

Na mbaya zaidi hata hao watumwa baada ya kuwatumia na kukamilisha malengo yao mostly waliwafanyia ukatili kwa kuwahasi wasiweze ku spread black race kwenye nchi zao.

Source Atlanta blackstar
1689493743251.png


Hapa chini ni picha iliyopigwa 1896 ikionesha Meli iliyobeba kundi la watumwa ambao bado ni vijana wadogo kiumri. Hao wote walienda kuhasiwa
1689494054583.png

So unachokiona saizi kuwa waislamu wanakaa pamoja na race zote ni countinuation of hypocrisy.


View attachment 2689013
Hotuba ya mwisho ya Mtume ambao ni kama wosia wa kiisilamu jambo kubwa tulilousiwa hakuna binadamu ambaye yupo juu ya binadamu mwengine isipokua Uchamungu, Mweupe sio superior kwa mweusi wala mweusi sio superior kwa mweupe.
Huyo mtume si ndio aliyetoa amri kwenye hadithi zake kiwa wale wanaotoka kwenye Uislamu wachinjwe?


Nenda msikiti ama Community yoyote ya kiisilamu ambayo inafuata Main Body ya uisilamu Sunni, nioneshe matabaka.
Unachoshindwa kutambua ni kitu kimoja

Ni kwamba watu hatuujaji ubudha, tunaangalia namna Buddhist wanavyo behave katika maisha.

Hatufungui Biblia kujua wakristo wanaishije, tuna observe kupitia kwenye community kujua Ukristo unafundisha nini.

This is not about reading scriptures

So watu hawahitaji kwenda misikitini kuangalia Quran inasemaje, watu wanawaangalia nyie.

  • Nchi za kiislamu zinaukandamizaji mkubwa wa haki za kibinadamu.
  • Nchi za kiislamu zinatoa watu wengi wenye matukio ya kihalifu
  • Nchi za kiislamu zina makundi mengi ya kigaidi ambayo malengo yao ni kutaka ulimwengu wote waamini dini moja ya kiislamu pekee.

Kwa hiyo unavyosema twende msikitini mi naona huo msikiti ni kama mask iliyoficha sura zenu halisi.

Uisilamu pia unafundisha kutowapenda waisilamu, tatizo lenu baada ya kujifunza uisilamu kwenye 1st party mnaujua tu juu juu

Msome huyu professor wa Austin ana video nyingi sana za Historia ya uisilamu, ni More credible kuliko Random person utakayemkuta internet
Sidhani kama kuna haja hata ya kumsoma professor wakati maandishi ya Quran tu yanasema Muislamu ndugu yake ni Muislamu na hivyo asiye Muislamu ni kafiri.

Na ndio maana kuna apostasy law iwapo Muislamu atabadili dini kuacha Uislamu kwenda dini nyingine.


Proof kwamba waisilamu wa Mecca wanawachukia wa Yemen?
2015 Nchi tukufu ya Saudi ilirudha makombora yake na kuua maelfu ya raia wa Yemen

Linki hii hapa BBC

Bado kuna Iraq na Kuwait

Saudi na Iran (wamepatana juzi tu hapo)

Morroco na Algeria

Bangladesh na Pakistan
Zipo nyingi
Hakuna kitu kama Suicide kwenye Uisilamu popote pale, waisilamu bilioni 2 wanngekua ni suicide bomber kusingebaki hata chembe ya kiumbe hai.
Soma hapa data zinaonesha kuwa nchi zenye idadi kubwa ya waislamu matukio ya kujitoa mhanga mengi yameshuhudiwa.

Na nchi zenye idadi kubwa ya waislamu wa dhehebu la sunni nazo zimeripotiwa kuwa na matukio mengi ya mashambulio yanayotokana na kujitoa mhanga.

Na nchi zenye idadi kubwa ya waislamu wa dhehebu la hanafi nao imekuwa na kawaida ya kuwa na matukio ya watu kujitoa mhanga.

Soma hapa wameweka na rekodi za matukio oxford academic
Boko Haram, ISIS, Al Shabaab, Al Qaeda nk.

Kind of religion that spread by sword
Hii imeshakua debunk mara kibao ila kila siku unaiona tena,
Imekuwa debunked na nani?

Angalia hii graph ya mahsmbulizi yaliyofanywa na magaidi wa kiislamu.
1689457121498.png

Kwa Hio Marekani akalipue Syria, Afghanistan, Iraq halafu hao watu wakiwa wakimbizi ni kosa la uisilamu?

Mbona hatuoni wasaudi, Wa Oman, Dubai, Qatar wakikimbia nchi zao?
Kama unaona Marekani ndio aliilipua Syria na kuitaja Saudi kama taifa lenye kupenda amani naomba uniambie ni sababu gani zilizopelekea mpaka Saudi kuwapa silaha wapinzani wa Syria kipindi cha Syrian war 2011?

Na kama Syria walilipuliwa na Marekani kwanini migrants hawakwenda Saudi kutafuta hifadhi badala yake walienda West kwenye mataifa yenye ushirika mkubwa na Marekani???


Anyway mkuu tumetoka nje ya mada mno, ningeomba turudi kwenye mstari.

Kusoma link za kulipia tumia opera mini

Hii screenshot kwenye Article ikionesha asilimia 25 ya waisilamu Marekani ni sababu ya kubadili dini
View attachment 2689034
Mi niko ndani ya mada afu natumia Chrome na Edge
 
... muiran wa dini gani? Sidhani kama atakuwa wa imani hiyo.
Wairan wengi wanakua atheist au Wana convert to Christianity sio Kwa kuipenda ili ku boycott utawala wa kimabavu wa jamuhuri yao ya kiislamu,
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Hujui Turkey ni Ulaya?
Kosovo ni Ulaya?
Albania ni Ulaya?
Azerbaijan ni Ulaya...

Hujui?....

Hujui Ulaya yote ilipata ustaarabu kutoka Kwa Moors?waislam kutoka Morocco na Senegal?...
Hebu kasome history kwanza....
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Swali lako zuri sana. Hiki kinachofatwa:



Ma shaa Allah
 
... muiran wa dini gani? Sidhani kama atakuwa wa imani hiyo.
Ni iman hiyo hiyo , weng wetu hatujui maswaibu wanayokutana nayo waislam wa middle east , ni mateso ya kuzimu mara usinyoe ndev mara mwanamke asiende sokon
 
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Coontinyuuuuuu
 
Back
Top Bottom