Solution waambie waache kuvamia Nchi za watu, hao wakimbizi wa Syria wasingekuwepo kama Israel, Usa na Nato yao wasingevamia.
Asilimia 52 ya Wakimbizi Duniani wanatoka Nchi 3 Ukraine, Syria na Afghanistan wote hawa wamekimbia sababu ya Uvamizi
View attachment 2687589
Nchi 5 zinazoongoza Duniani kupokea wakimbizi 3 ni za Kiisilamu
1. Uturuki
2. Iran
3. Ujerumani
4. Colombia
5. Pakistan
View attachment 2687591
Bado Waisilamu wengi wana Huruma sana Kuwapokea hao wakimbizi, ingekua mimi ndio Raisi wa Nchi hizo za kiisilamu ningewakodishia Meli kabisa nikawabwaga Ulaya.
Haiwezekani waje na Mabomu yao waue Watoto, waharibu miundombinu na kila kitu, waibe Rasilimali, kama Hao Usa hadi Reserve ya Afghanistan wamichukua wao kitu ambacho kinapingana na Sheria za kimataifa. Then tabu wapate waarabu kwanini?
Waende huko huko Ulaya kama wao walikua na Guts ya kutoa wanajeshi wao kuharibu nchi za watu wawe na Guts za kuchukua responsibility kwa maovu yao waliyoyafanya.