baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ni refute kitu ambacho umeshindwa kuthibitisha kipo? Toa hoja with evidence kwanza kwamba Conversion za Europe ama west ni ndoa, bila kuleta hii evidence sina Chochote cha kurefute.Ukitaka kuona hiyo source yako ni maoni binafsi ya mtu soma hapo chini wahusika wa blog wamemkataa huyo bibieView attachment 2688210
Sasa nikuulize kwanini blog imekataa kuchukua hii article kama universal fact?
Hii ni article iliyokuwa inafafanua tu kitabu chake alichokiandika huyu dada kuhusu conversion.
Hapa ni sawa na article ambayo inazungumzia God Delusion ya Dawnkin.
Sasa hii ndio unatamba kuwa source?
Ni sawa na mimi nikupe hiiView attachment 2688221
Halafu madai yako yote bado yanaelea juu kwenye hoja yangu ambayo mpaka saizi ukeshindwa kui dispute.
Hao converters ambao unasema wameufata uislamu mostly ni through ndoa.
Na hiyo inatokana na uislamu kuwa na sheria ngumu zinazombana mtu kuuacha Uislamu. Uislamu una vitisho na ni kosa kubwa kwenye dini mtu kuacha Uislamu na ndio maana nchi nyingi zenye kutumia sharia huwa zinatoa adhabu ya kifo.
Na proffesor ni mtu Anayeaminika, so Maneno yake sio kama yangu na Yako.
Pia Article yako ya Budha haina namba kuprove kwamba Ubudha unakua kwa kasi kuliko uisilamu Ulaya kama ulivyoclaim
Hizi Data mbalimbali kuhusu Conversion
-Asilimia 25 ya waisilamu Marekani ni watu waliosilimu
Muslim Converts Face Discrimination (Published 2005)
In the wake of 9/11, Muslim immigrants from Pakistan, Egypt and other countries have found themselves living in a newly suspicious America. Many of their businesses and mosques have been closely monitored by federal agents, thousands of men have been deported and some have simply been swept away...
-uisilamu utakua na Ongezeko la watu Milioni 3 ya pili nyuma ya watu wasio na dini kwenye Kubadili dini mpaka 2050
-Swansea University wana estimate Converts ni Laki 1 Uk ipo reported na BBC
Converting to Islam - the white Britons becoming Muslims
The BBC's Catrin Nye reports on the growing number of white people in the UK who are converting to Islam.
www.bbc.com
Na ni ya zamani toka 2011 hio figure itakua Imeongezeka zaidi
-NYT wanasema France pia ina converts laki 1
More in France Are Turning to Islam, Challenging a Nation’s Idea of Itself (Published 2013)
A growing number of young people are now seen as converting to be better socially integrated in poor neighborhoods where Islam is dominant.
Data zipo Nyingi mno za Conversion toka source mbalimbali.