Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nimesoma vizuri ila wewe ndio hujanisoma vizuriKasome vizuri pew reasech kuhusu uisilamu na usiquote nusu nusu, pew research wanasema Birth rate ya waisilamu Ulaya ni watoto 2.7 ni wengi kuliko wazungu ila stil ni ndogo compare na Sub sahara ama maeneo mengine Duniani, hiyo ya watoto 12 umetunga tu wewe otherwise prove.
Pia kidunia Nchi zenye watu wengi nyingi sio za Kiisilamu, India, China, Usa etc wanazaliana kila siku.
Pia hao hao pew research wana data za kusilimu sikumbuki vizuri ila zinakaribia laki.
Mimi nimezungumzia Global sijakata kipande kuelezea Europe pekee, sijui kama hata unajua fertility rate ya global ni ratio ngapi kwa muislamu.
Lakini hata nikisema niuweke mjadala kuhusu Ulaya bado jibu sio conversion
Unajua migrants crisis ya 2015 kule Ulaya ilipokea watu wangapi kutoka wapi?
Zaidi ya wakimbizi 1.3Milion kutoka nchi za kiislamu waliingia Ulaya wakikimbia migogoro ya kisiasa na ugumu wa maisha kwenye nchi zao huku Syria na Pakistani zikiwa kinara kwa kutoa idadi kubwa ya watu.
2016 pew research ilikadiliwa kuwa na ongezeko la zaidi ya 26M ya waislamu waishio Ulaya kulingana na umri wa fertility pattern ya jinsi waislamu wanavyozaliana.
Na saizi inakadiriwa kuwa ifikapo 2050 waislamu watakuwa 36M ambayo ni asilimia 7.5 ya population ya Ulaya yote.
Hayo yote sio kwasababu ya watu kusilimu, ni sababu ya uzalianaji wa waislamu ulivyokuwa mkubwa.