Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Hilo swala la kusilimu ni sherehe kwenu.

Hivyo na nyie msivuruge amani kwenye sherehe za wenzenu wanapochoma hizo Quran ambazo walizinunua kwa pesa zao
Nani kavuruga amani kwenye sherehe ya kuchoma Qur'an!?..si alichoma kwa Raha zake akarudi nyumbani kulala
 
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Ukristo hauruhusiwi uarabuni ni bora ukutwe na bangi na Sio Bible uarabuni
 
Katiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.

Na sio Quran tu hata Toráh ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
Lakini Sio bendera ya mashoga au vitu vya kishoga jela itakuhusu
 
Keshokutwa jamaa atainyea hadharani na kuikojolea.
Matukio kama hayo yanachangia Uislamu kufahamika na watu wengi zaidi kufuatilia hatimaye wengine kusilimu , miaka ya nyuma yametokea matukio mengi ya kuuchafua uislamu na kuchokoza lakini idadi ya watu kusilimu na Waislamu imeongezeka maradufu baada ya kupungua licha ya hayo matukio.
 
Uislamu hauongezeki kwa sababu ya kusilimu. Fuatilia takwimu utajua unaongezekaje.

Uislamu unaongezeka kutoka kwa mataifa yale yale ya kiislamu kuzaliana na kuzaana sana ila sio kwa kusilimu.

Kumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilifanyika kampeni kubwa sana ya kununua ama kusilimisha watu maarufu ulaya ili kuupa uislamu relevance lakini hakuna matokeo yoyote.

Usilamu unaingezeka uarabuni kwa kuzaliana kama mchwa.
Angalia hizi takwimu zitakusaidia.
 
Uislamu hauongezeki kwa sababu ya kusilimu. Fuatilia takwimu utajua unaongezekaje.

Uislamu unaongezeka kutoka kwa mataifa yale yale ya kiislamu kuzaliana na kuzaana sana ila sio kwa kusilimu.
Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.
Screenshot_20221209_174926.jpg

Screenshot_20221205_162042.jpg
 
Attachments

  • IMG_20221209_174740.jpg
    IMG_20221209_174740.jpg
    23.2 KB · Views: 2
Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.View attachment 2686823
View attachment 2686825
Sasa hapa umeweka nini?

Ziko wapi takwimu za kusilimu sana na kuongeza uislamu hapo?
 
Kukusaidia uelewe, majority ya watu ulaya wanaachana na mambo ya dini baada ya kugundua ni ya kitapeli, sio kwamba wanasilimu. Sasa miaka 20 hakuna nyongezeka ya hata 2% hapo kuna kusilimu wapi?

Wewe ukiangalia hapo, rate ya watu kuachana na dini na kusilimu ipi kubwa?
 
Sasa hapa umeweka nini?

Ziko wapi takwimu za kusilimu sana na kuongeza uislamu hapo?
Kitaalamu ni kwamba : Msimamo kuwa sababu kuu ni kuzaliana na kuUndestimate mchango wa watu kusilimu haiMakesense moja kwa moja na dalili ni kushuka kwa idadi ya Wakirsto na Makanisa mengi kuwa tupu .Hapo inamaanisha ukiristo umeanza kudorora huku kitu kingine kikishamiri.

Ingekuwa idadi ya Wakirsto haishuki kwa kiwango kikubwa na huku Waislamu wakiongezeka tungesema hapo kuzaliana pekee ndio sababu lakini hapana idadi yao inapungua kwa kasi mno na hilo ndio inatoa nguvu hoja yangu.
 
Kukusaidia uelewe, majority ya watu ulaya wanaachana na mambo ya dini baada ya kugundua ni ya kitapeli, sio kwamba wanasilimu. Sasa miaka 20 hakuna nyongezeka ya hata 2% hapo kuna kusilimu wapi?

Wewe ukiangalia hapo, rate ya watu kuachana na dini na kusilimu ipi kubwa?
Nakubali wengi ulaya wanaacha dini hivyo kufanya ukiristo udorore na wengi katika hao kuwa Atheist(tuchukulie 75%) na wachache kuingia kuwa Muslim( 15%) sasa hiyo halo ikiendelea haba na haba hujaza Kibaba na matokeo ya mwisho yatakuwa Ukiristo kutoweka kabisa na kubaki Uislamu na Atheism .

Hapo inakuwa rahisi sana kumtoa mtu kutoka Atheism kuja uislamu kuliko kutoka Ukiristo kuja uislamu.Kwa maana kwamba mtu ashatoka jambo kuu ya upinzani kinachobaki ni sera zako aje lambo mpya kuliko awe mfia dini kumtoa ni ngumu.
 
Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.View attachment 2686823
View attachment 2686825
Sio kweli kuwa kuslimu ndio kunakosababisha uislamu uzidi kukua.

1. High birth rates ndio big factor (hii iliwahi kufanyiwa research na pew research)

Piga hesabu mwanaume mmoja mwenye wanawake wanne azae watoto wa tatu kwa kila mwanamke atakuwa na watoto 12.

Hiyo ni sawa na jumla ya familia 4 za wasiokuwa waislamu.

2. There's no exit door in Islam

Ukiingia umeingia, kutoka lazima uache kichwa au kiungo chochote ambacho wataridhika.

Na sometimes hayo yote yasipotokea basi kubali kupoteza ndugu zako wote hadi familia inaweza kukutenga.

Kiufupi ni dini yenye mlango mmoja tu wakuingilia.
 
Sikutegemea kuandika utopolo kama huu mithili ya dunduka.

Points no 2 ni moja kwa moja ni weakest point .Nitajie nchi kumu zinazotekeleza sheria hiyo hapa duniani , vipi huku bongo ,UK ,Syria ,Oman ,Dubai ,Qatar , Morocco , Egypt ,Albania ,Turkey ,Turkimenistan ,Tajikstan na Kazhakstan wanachinja ?

Tena hata nchi za kiarabu na zenye Waislamu wengi watu wanaenda wanachagua wanapopataka kwa uhuru bila kuchinjwa na huko Makanisa yapo mengi.

Ukweli ni kwamba misingi ya dini ya kiislamu inajenga mtu kiimani ya sawasawa inakuwa ngumu kusilimu hata awe mlevi kichwani anajua uislamu ni haki na bila uislamu atakufa katika hasara kubwa.Ndio maana humu Jf hata ulimwenguni Atheism wengi wanatoka upande wa ukiristo kulinganisha na Uislamu.
 
Back
Top Bottom