Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Mbona nyinyi wakristo na hao wazungu wako Arabia na nchi nyingine za kiislamu?
 
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Acha ujinga bwana kama ni dini ya wote duniani inakuwaje ianzie uarabuni na itumie lugha na majina ya kiarabu?

Ujinga wako kaa nao mwenyewe
 
Sasa huoni kama
1. Kukubali kama wafungwa wanasilimu
2. Kukubali wanasilimu kufuata Gangs
3. Kukubali wanasilimu kupata power jela

Inapingana na hoja yako ya juu kwamba wanasilimu sababu ya Ndoa?

Mwenyewe unajipinga ila sababu upo kwa ajili ya kubisha sababu hata hujielewi.

Anyway nimeprove kwamba asilimia 25 hao wametokana na kuconvert inatosha sina haja ya kubishana ujinga.
 
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Nipe Aya inayosema kuwa dini ya Kiislam ni ya watu wote
 
Hii dini inatumia nguvu Sana kueneza. Sweden na ulaya waendelee Algeria waulize njia zilizotumika kufuta Ukatoliki/ Ukristu kutoka Taifa la Kikristu wakati pakiitwa HIPPO enzi za Mt. Augustino na Sasa Ukristu ni historia kana kwamba haukuwahi kuwepo
 
Katiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.

Na sio Quran tu hata Toráh ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
Rudi katika kumbukumbu zako vizuri, Serikali ya Sweden ilizuia Torah kuchomwa!
 
Mkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Sasa imekuwaje tunapoikataa dp world mnadai ni udini kwani djibout si nchi ya mnyaazi ile mbn wana mgogoro na dp world?Na je mwanamke ni sahihi kuwaongoza wana mnyaazi mungu?
 
So!?..by the way,Kuwait wamechapa nakala za laki moja za tafsiri ya Qur'an kwa kiswidi,zitaweka library za Sweden ikiwemo kwenye taasisi za elimu pia...subiri uone watavyosilimu
Huu ndio ukweli Sasa... Haikushushwa na Allah ilichapwa tu na bwana Mudi...
 
Kwanza umeshindwa kuelewa point kuu.

Point kuu ilikuwa ni kuonesha kuwa watu kufuata uislamu hakutokani na mioyo yao kuridhia mafundisho mazuri ya dini hiyo.

Bali watu wanasilimu kwa maslahi na shinikizo.

Mtu anayeslimu kwasababu ya ndoa ni kwamba yeye mwenyewe hajafuata Uislamu kamfuata mume/mke ambaye sharti la kumpata ni hadi abadili dini.

Hiyo ni tofauti na mtu anayeamua kuifata dini kutokana na moyo wake wenyewe umemsukuma kuvutiwa na dini pengine kwasababu ya ushuhuda au mafundisho ambayo yamegusa maisha yake.

Na bahati mbaya hujapinga hoja hizi.

Sasa namimi nakuuliza.

Huoni kama kukubali kuwa ni kweli lipo kundi la watu wanaosilimu kwa shinikizo na maslahi kunapinga hoja ya kwamba Uislamu ni dini ya amani?
 
Issue mkuu wewe ni kigeu geu hujaongea unachokiongea sasa hivi hii screenshot yako



1. Ulisema Conversion ni chache
2. Ukasema Main reason ya Conversion ni Marriage

Maneno. Yako mwenyewe hayo sio yangu ama kama nakusingizia sema.

Mjadala wote ukatokea hapo.

1. Nimeprove kuna Conversion hadi asilimia 25 ambayo si Ndogo kwa Sehemu yenye Waisilamu milioni 4

2. Nimeprove Mariage sio Main Conversion issue, Watu wamesilimu sababu ya Malcom, watu wanasilimu Jela, watu wanasilimu kutafuta identity zao etc.

Sasa mwenzangu unaruka ruka kutafuta sababu nyengine juu kwa juu.

Mimi ni mtu mzima wala sipaswi kubishana cheaply hivi, tuishie tu hapa mkuu.
 
Najitahidi kusoma mara mbili mara mbili nione ni wapi nimeji contradict nashindwa kuona hiyo sehemu.

Kiukweli nilisema kuna conversion chache hilo sipingi.

Lakini kama utakuwa unakumbuka awali tulikuwa na mjadala wa ongezeko la waislamu wengi Ulaya.

Ambapo wewe ulikuja na hoja kuwa hilo ongezeko limesababishwa na watu wa Ulaya kusilimu. Sijui kama unakumbuka.

Mimi nilikuja kupinga hoja yako tena kupitia reference yako uliyoiweka kusapoti hoja yako ambayo reference ilisema ongezeko limechangiwa na idadi kubwa ya migrants.

Baada ya hapo ndio tulipoanza mjadala wa conversion ambapo mimi nilikubali kuwa conversion zipo ila kwa asilimia kubwa conversion zilizochukua waumini wengi zili base kupitia ndoa.

Hoja ikawa nitoe reference.

Nika point some articles zilizofanya research ambapo moja ya reference niliyokupa ilikuwa na title ya "Islam spread through the Christian world via the bedroom"

Lakini bado ukaja na hoja nyingine kuwa Malcom alikuwa Muislamu na aliweza kushawishi wamarekani wengi kusilimu.

Na ukaenda mbali kuhoji, je hao watu nao walishawishiwa na ndoa?

Huko kote nilitoa majibu kuelezea kwanini hilo liliwezekana.

Malcom alikuwa na influence power, alikuwa kwenye peek ya umaarufu wake ambapo watu wengi walipenda itikadi na falsafa zake.

Nimegusia baadhi ya vyanzo ambavyo vinaeleza kuwa Malcom X alikuwa anachukiwa na mataifa mengi ya kiarabu kutokana na umaarufu wake ulioleta hofu kwa waislamu kuwa angeweza kumfunika Muhammad.

Na inasemekana kuwa hata kifo chake kilisababishwa na Muslim nations.

Kuhusu kusilimu jela sijui wapi sijaeleweka.

We umekuwa unasisitiza kuhusu sources lakini kumbe hata ukiwekewa bado nakuwa sijafanya kitu.

Ndio najua we ni mtu mzima na wala hakukuwa na lazima kusema hivyo ili kuthibitisha, mjadala tunaoufanya kinidhamu bila kashfa unaonesha wote hapa ni watu wazima.
 
Nation of Islam sio waisilamu na wala hawana uhusiano wowote na waisilamu jina lisikudanganye.

Na Malcom X alitoka Nation of Islam na kusilimu kuwa Muisilamu.

Na sababu ya Malcom X Kubadili msimamo ni Baada ya kwenda Hijja, na kuona watu weupe, weusi, wa asia na wengineo waki exist pamoja bila matatizo



Hebu nitajie hayo mataifa ya Kiarabu yanayomchukia Malcom X, una ujinga mwingi sana mkuu, Soma Vitabu achana na Hoja cheap ambazo zinawekwa na watu wasio na Hoja.

Haimake sense kwa Malcom X kuchukiwa na Waarabu, sababu alichukua akipreach Malcom ni Uisilamu sahihi (Hio miezi kadhaa kabla ya Kuuwawa) na sisi waisilamu huwa hatuabudu watu, Hata Muhammad (S. A. W) kwetu ni mtume tu, awe maarufu asiwe maarufu as long as tunafuata alicholeta kama Messenger inatosha.
 
Kuna kitu nimekigundua. Ima huwa unasoma vitu ambavyo huvielewi, kiingereza kinakupiga chenga kukielewa, hausomi kwa kutulia au unaleta tu ubishi usio na msingi ndio maana unapotosha makusudi ama vyote kwa pamoja.

Malcolm X hajawahi kuchukiwa na mataifa ya kiarabu. Hajawahi kutengeneza hofu yoyote kwa Waislam eti wakihofia umaarufu wake ungemzidi Muhammad. Ulivyoandika hapo ni kama unamaanisha Mtume Muhammad. Kuna tatizo la uelewa katika usomaji wako. Muhammad unamaanisha Elijah Muhammed?

Kifo cha Malcolm X haidaiwi kuwa kimesababishwa na "Muslim Nations" bali inahisiwa ameuawa na kundi linalojiita Nation of Islam (NOI) lililokuwa likiongozwa na kina Elijah. Malcolm hakuwa na tatizo lolote na mataifa ya kiislam. Bali hayo mataifa ya kiislam alipotembelea ndio misimamo yake ikabadilika akaachana kabisa na NOI akawa Muislam. Mfano alipokwenda Hijja na kushuhudia aliyoyashuhudia kulibadilisha mno misimamo yake, rejea barua aliyoandika kutoka Makkah. Hivyo soma sources zako kwa utulivu na kama hauzielewi ni vizuri kujifunza kwanza. Hii mijadala hatafutwi mshindi hapa.

Yangu ni hayo tu.
 
Mkuu sijamzungumzia Elijah au Fard nimemkusudia mtume mwenyewe.

Nation of islam naifahamu vizuri najua ni organization tu, zipo taarifa ambazo sio rasmi na ndio maana nilikuwa naandika kutumia maneno inandaiwa.

NOI ilikuwa inafadhiliwa na moja ya kiongozi kutoka mataifa ya kiislamu ambapo moja ya ambitions zake ni kuusambaza Uislamu gerezani.

Hadi Gadaffi aliwahi kuhusishwa ku fund hii organization.
 
Kuna tatizo humu Jf la watu kujadili vitu ambavyo hawavijui. Huyo angekuwa anajua historia ya Malcolm X kuna makosa angeyaepuka hapo. Kuna mmoja aliwahi sema Mtume Muhammad ni kutoka kabila la Wakurdi na eti Waislam wanamuita Malaika mtoa roho "Israel" kwa sababu ya kuwachukia wayahudi. Unaona kabisa hajui lakini ndio hivyo kaandika. Na hapo anafanya mjadala. Watu kama hao mimi huachana nao tu.
 
Issue ni Islamophobe, mtu anachukia Uisilamu kiasi kwamba akiona uongo wowote unauchukua kama Ulivyo na kusambaza, zero research. Wengine wanafanya makusudi anajua ni uongo na anaendelea hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…