Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
SHAKA, BASHITE, CCM hakuna aliemsafi. Wote ni LAANAKUM.... Moshi imeandika historia; umekuwa mji wa kwanza nchini meya kusapoti ushoga na kuahidi kuwatetea kwa nguvu zote! Kabila gani huyu? Chama gani huyu?
Hapo mji ndio umesapoti au ni meya binafsi?... Moshi imeandika historia; umekuwa mji wa kwanza nchini meya kusapoti ushoga na kuahidi kuwatetea kwa nguvu zote! Kabila gani huyu? Chama gani huyu?
Juma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake.
Amesema Viongozi wa CCM wilaya na mkoa wamekuwa chanzo kikubwa cha mgogoro hadi kutisha wajumbe ili atolewe kwa maslahi yao. Mungu ni mwema niko salama.
Juma Raibu ameondolewa katika nafasi yake leo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kusapoti ushoga
Juma Raibu aliwahi kuwatimua wajumbe waliovaa barakoa kipindi cha COVID19 Meya Manispaa ya Moshi awataka wajumbe waliovaa barakoa kuzivua
Eti ford ranger ๐ umedanganywa aiaeePesa alizoiba na rushwa kedekede usitegemee hilo mkuu, kwa taarifa yako tu moja ya magari yake huyu dogo ni Ford Ranger ya milioni zaidi ya 80.
Duh ila ushoga umeshamili sana eeh Mungu tuepusheJuma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake.
Amesema Viongozi wa CCM wilaya na mkoa wamekuwa chanzo kikubwa cha mgogoro hadi kutisha wajumbe ili atolewe kwa maslahi yao. Mungu ni mwema niko salama.
Juma Raibu ameondolewa katika nafasi yake leo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kusapoti ushoga
Juma Raibu aliwahi kuwatimua wajumbe waliovaa barakoa kipindi cha COVID19 Meya Manispaa ya Moshi awataka wajumbe waliovaa barakoa kuzivua
Ushirikiano gan huo aliotaka kuwapa๐๐๐คฃ๐๐๐
View attachment 2183923
Umesahahu zao la lumumba?Kwahiyo kusimamia mashoga ndio ukweli wenyewe?
Huyu kumbe ashaa fumuliwa [emoji12] !!![emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2183923
Watanyukana mwaka huu. Mpaka 2025 ufike watakuwa wamechoka sanaJuma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake.