Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ni shoga ama si shoga[kama alivyotuhumiwa]?Juma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake.
Amesema Viongozi wa CCM wilaya na mkoa wamekuwa chanzo kikubwa cha mgogoro hadi kutisha wajumbe ili atolewe kwa maslahi yao. Mungu ni mwema niko salama.
Juma Raibu ameondolewa katika nafasi yake leo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kusapoti ushoga
Juma Raibu aliwahi kuwatimua wajumbe waliovaa barakoa kipindi cha COVID19 Meya Manispaa ya Moshi awataka wajumbe waliovaa barakoa kuzivua
Alipimwa?
Majibu yalikuwaje?
Yeye alipo hojiwa alisemaje?
Naombeni video ya mahojiano yake.