Aliyefukuzwa umeya kwa tuhuma za ushoga asema ukisimamia ukweli huwezi baki salama

11 April 2022
Moshi, Kilimanjaro

Madiwani na pia aliyekuwa meya wazungumza baada ya zoezi la kumuondoa madarakani meya Juma Raibu


Source : Mwananchi Digital
 
... Moshi imeandika historia; umekuwa mji wa kwanza nchini meya kusapoti ushoga na kuahidi kuwatetea kwa nguvu zote! Kabila gani huyu? Chama gani huyu?
ungetaja na chama ungeeleweka chama anachotokea meya
 
Pesa alizoiba na rushwa kedekede usitegemee hilo mkuu, kwa taarifa yako tu moja ya magari yake huyu dogo ni Ford Ranger ya milioni zaidi ya 80.
πŸ˜‚umedanganywa,kajamaa kapo second year kanasoma Bachelor of Law hapo ushirika na sijawahi kuona Ford inaingia ushirika achilia gari yoyote ya bei kubwa ya mtu binafsi
kajamaa ni kasela tu fulani,na kanachakata papuchi kimasihara so mambo ya ugasho pia hakana kabisa licha ya kwamba kalihudhuria party ya wapitwa uhani
 
Kwa hiyo meya shoga wa CCM hapo Moshi ameng'olewa?
CCM hawawataki tena mashoga wao?
Hivi yule katibu mwenezi wa CCM taifa (shaka, ambaye anasemwa kuwa naye ni shoga kutoka Zanzibar), amebariki haya mapinduzi ya kumng'oa meya?
 
Hatuoni ushahidi wowote katika post yako kwamba katuhumiwa kwa ushoga.Nadhani tuhuma zako si za kweli,or else toa ushahidi.
 
Swala la ushoga Chadema walilitetea sana uchaguzi uliopita naona wamekua kimya kulinda legacy yao kupitia Bw. Meya.
 
Licha ya ushoga alikua na kashfa ya matumizi mabaya ya pesa za umma

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
CCM hawajawahi kuzuia wazi wazi na kwa vitendo matumizi mabaya ya pesa za umma na ndio maana mwenyekiti wao kaanzisha mpango wa kula kwa urefu wa kamba yako!
 
Ndio ana ford ranger, wewe umesema umemuona kwenye bodaboda aina ya ford ranger ndio nakuuliza ni mpya imetoka mwaka huu? Mana bodaboda najua kuna boxer na kinglion, unaweza tuma picha tuone bodaboda aina ya ford ranger
Hebu fanyeni party nyingine na msikubali kurekodi tena msije mkaponza waudhuriaji kama mlivyomponza Raibu.
 
... Moshi imeandika historia; umekuwa mji wa kwanza nchini meya kusapoti ushoga na kuahidi kuwatetea kwa nguvu zote! Kabila gani huyu? Chama gani huyu?
Kwani ushoga unakuuma nini kama huufanyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…