Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Nomecheka jamani,mbavu zangu mie
 
Jumapili kama hivi ukijiona una issue jaribu kujichanganya kwenye mikusanyiko mfano kama coco beach Kwa watu wa Dar hii itakusaidia kutokuwaza mawazo ya kipumbavu.

Coco beach ni free hakuna kiingilio, mihogo jero tu Mishikaki jero, soda buku.

Yani ukiwa na elfu tano tu unakwenda out.
Jana yenyewe nilikuwepo kule nimetumia jumla shilingi elf nne tu na nimetoka nikarud omu sas huyu mleta mada sijui anafikiria nn au Ni mpyaayungu huyu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unamaanisha Kama hii mkuu?[emoji848]
images-1018.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana yenyewe nilikuwepo kule nimetumia jumla shilingi elf nne tu na nimetoka nikarud omu sas huyu mleta mada sijui anafikiria nn au Ni mpyaayungu huyu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kwrnda pale kokobeach nikajidai kuwasikiliza wale vijana wanaojidai wanapokea, aisee walinibambikia bei ya mihogo na ile mishikaki yao ....
Kumbe bei ni ndogo sana kulivyo walivyo nibambika sina hamu na wale vijana wezi sana,
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Acha ujinga
 
Jumapili kama hivi ukijiona una issue jaribu kujichanganya kwenye mikusanyiko mfano kama coco beach Kwa watu wa Dar hii itakusaidia kutokuwaza mawazo ya kipumbavu.

Coco beach ni free hakuna kiingilio, mihogo jero tu Mishikaki jero, soda buku.

Yani ukiwa na elfu tano tu unakwenda out.
Aliegundua kondom asingekuwa anawaza ngono akaenda kula mihogo kama ulivyomshauri huyu kijana

Tungeteketea sana kwa magonjwa ya zinaa

Si ajabu ningekuwa mda huu nakuna upele wangu wa gono huku natype jf
 
Jumapili kama hivi ukijiona una issue jaribu kujichanganya kwenye mikusanyiko mfano kama coco beach Kwa watu wa Dar hii itakusaidia kutokuwaza mawazo ya kipumbavu.

Coco beach ni free hakuna kiingilio, mihogo jero tu Mishikaki jero, soda buku.

Yani ukiwa na elfu tano tu unakwenda out.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Daah..kusex bila kumwaga wazungu ndani ya k naona bado sijatomber.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom