Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Leo ndiyo mmejua hayo? Asante MunguMalipo gani Tena? Kwahiyo askofu hatokufa kwakuwa alihojiwa uraia wake na aliemhoji amekufa? Kifo ni fumbo, kifo ni kwaajili ya viumbe hai wote, adui akifa sio guarantee wewe hatokufa, kifo sio kwaajili ya uwachukiao pekee
Kuna wanyonge wanne wanazikwa Kimara leo sababu ya uzembe WA watu. Hata ndugu hawajui walikufaje? Housegirl haonekani. Funzo tusipende kushadadia Mambo tutaingia kwenye matatizo kuna familia zina Mambo mazito Sana.Wananchi wanyonge watakuja kukuvamia hapa ukimbie
Ndiyo,kifo ni hukumu, biblia inasema hivyoKifo ndio malipo?
Wakati wa kuweka mchanga kaburini mie nitarusha jiwe kubwaHakika Askofu Nemuganzi ni mchapa kazi kweri-kweri.
Mama kubwa... Wanyonge ni watu waajabu sana... Ukitumia logic huwezi patana naoKuna wanyonge wanne wanazikwa Kimara leo sababu ya uzembe WA watu. Hata ndugu hawajui walikufaje? Housegirl haonekani. Funzo tusipende kushadadia Mambo tutaingia kwenye matatizo kuna familia zina Mambo mazito Sana.
Angalia video za Wananchi ulikokuwa ukipita mwili , Wananchi wamechakaa Hadi huruma, huyu Angekaa miaka 20 waliyotaka kumwongeza watu wangevaa magunia na Kula udongo.unafiki umetujaa, Magu amepata alichotaka, Mungu hawezi kuwatuoa watu wake ni suala la muda tu na ndicho kilichotokea
Makonda na sabaya nani anamuiga mwenzake?Jamaa alikuwa na roho mbaya na alizungukwa na wapambe wenye roho mbaya. Wakazhindwa kumshauri hadi corona ilipotusaidia
Kama ibada ya mazishi ya kumuaga DIKTETA MAGUFULI ingekuwa kama Bongo Fleva, ingependeza kuona collabo ya Askofu Severin Niweemugizi wa RC na Askofu Benson Bagonza wa KKKT.Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.
Soma hapa:
1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa
3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi
4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Yesu alitabiri petro atamkana hivo petro alikua akitimiza unabii, maisha ya mwanadam yapo katka unabii ndo maana mtumishi wa mungu/mtu mwenye kujua maandiko hawezi kua na akili za kijuha kama mleta mada na baadhi ya wachangiaji.Petro alimkana Yesu kwa hofu ya Mayahudi. Marehemu alitesa watu kwa hofu ya nani?
Maelezo yako hayaakisi hoja iliyotolewayesu alitabiri petro atamkana hivo petro alikua akitimiza unabii, maisha ya mwanadam yapo katka unabii ndo maana mtumishi wa mungu/mtu mwenye kujua maandiko hawezi kua na akili za kijuha kama mleta mada na baadhi ya wachangiaji
Tuishi kwa kutambua kuwa duniani ni njia tu na hakuna atakayeishi milele
Mungu ni fundi.Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria.
Soma hapa:
1) Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
2) Uraia wa Askofu Severine Niwemugizi (mkosoaji wa Serikali) unaendelea kuchunguzwa
3) Uhamiaji wamuhoji mdogo wake Niwemugizi
4) Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona
Ndo maombolezo menyewe hayoYaani nashangaa Sana hizi akili za Hawa Wananchi kukichambua kifo namna hii
Yuko huru kuongelea mambo ya dini siku nyingi mbona hakuna wa kumsumbuaFumbo la imani.... Askofu sasa upo huru!!
Ndio uhuru wa maoni huu. Au ulikuwa mpambe wa jamaa aka chawa!?
Ili iwe funzo na kwa wengine walio bakia kutofanya matendo ya hovyo kama yeye...siku zote adui anatakiwa akutangulie kufa.