Kwahiyo aachiwe huru kisa alilazimishwa kusema ukweli hata kama aliua kweli?Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.
Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.
Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli kitu ambacho ni kinyume na sheria.
kweli kabisaUkiua mtu ni kwa sababu tu wamekulinda lakini lile wenge lazima likukamatisha hata kama hakuma aliyekuona.
Haki jinai: Polisi hawaruhusiwi kumlazimisha mtuhumiwa kusema chochote , kama alifikia hatua hiyo ya kupoteza ushahidi inawezekana vipi akakubali kusema kwa hiyari yake?Kwahiyo aachiwe huru kisa alilazimishwa kusema ukweli hata kama aliua kweli?
Alifanya kosa la kitoto.Kwa hiyo nini kilisababisha akajulikana baada ya kupoteza ushahidi?
Ukiwa mzima upstairs na downstairs huwezi kukimbia hiki kitu,ni kuomba tu kwa imani yako ubahatike kumpata mtakaeendana.Duuh mapenz ya ndoa nayo changamoto kwelikweli na bado tunataka kuoa daah mungu atupe nguvu
Obviously plus dharau kwa mume kujibizana na mume hovyo hizi huwa sababu sababishi za haya matukio.Sababu ya kufanya hayo mauaji ni Nini!?? Sidhani kama aliamua tu kumuua.... Mke alibumbulika anatoa mzigo nje....
Ni hapo watuhumiwa wengi wa kitanzania wanapofeli ,kote wanacheza vizuri Ila ikifika kwenye issue ya mawasiliano wanayabananga .Alifanya kosa la kitoto.
Baada ya kuua akachukua simu ya mkewe akajitumia meseji as if mkewe ndiyo amemtext.
Meseji Aliandika "mume wangu nasafiri nje ya nchi" alafu akaandika "naomba uwaangalie watoto".
Hii kwenye uchunguzi ilimtoa mchezoni mana kwenye upelelezi ilionenkana simu zote mbili zilitumia mnara mmoja wa mawasiliano,means mtuma meseji na mtumiwa walikuwa the same location.
Swali likabaki kwa nini iwe hivyo?
Mwamba alikosa elimu ya criminology akadakwa kitoto.
Si wakikuwa wanaishi pamoja na bila maelewano. Kwa nini isiwe sio kesiAlifanya kosa la kitoto.
Baada ya kuua akachukua simu ya mkewe akajitumia meseji as if mkewe ndiyo amemtext.
Meseji Aliandika "mume wangu nasafiri nje ya nchi" alafu akaandika "naomba uwaangalie watoto".
Hii kwenye uchunguzi ilimtoa mchezoni mana kwenye upelelezi ilionenkana simu zote mbili zilitumia mnara mmoja wa mawasiliano,means mtuma meseji na mtumiwa walikuwa the same location.
Swali likabaki kwa nini iwe hivyo?
Mwamba alikosa elimu ya criminology akadakwa kitoto.
But yapo madai aliwapeleka askari shambani kwake Vikindu akaonyesha alipofukia masalia kiasi ya marehemu na walipofukua wakakuta vipande vya mifupa na meno ya binadamu?Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.
Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.
Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli huo kitu ambacho ni kinyume na sheria.
Sijaeleweka? Ndiyo najua sijaeleweka.
Uko sahihi. Ukisoma hadithi moja ya Edgar Alan poe inaitwa the tells tale's heart, ukiua kuna wenge linakupata as if kuchanganyikiwq hivi. Hapo ndipo unapoingia kwenye mtegoUkiua mtu ni kwa sababu tu wamekulinda lakini lile wenge lazima likukamatisha hata kama hakuma aliyekuona.
Si mnawaitaga Policcm? Omba wasiwe wanakutafuta.Dah... Eenh. Endelea sasa polisi walijuaje?
Kwakwel kaka me ndo napitia hio situation saivUkiwa mzima upstairs na downstairs huwezi kukimbia hiki kitu,ni kuomba tu kwa imani yako ubahatike kumpata mtakaeendana.