Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Kwa taarifa yako
Bodaboda anapoondoka geto kwake ahsubuhi, huwa anaikunja roho yake vizuuri na kuiweka sandukuni kisha anatoka akiwa kiwiliwili kitupu.. Ndo maana wanatatarika barabarani kama kuku mwenye kideri aliyepakwa pilipili kunako makalio
 
Acha wafe TU Ni malimbukeni,hawana nidhamu,wanagonga watoto wadogo barabarani na kukimbia bila kusimama kuwasaidia,nasema acha yafe mpaka watakapopata akili.
 
Acha wafe TU Ni malimbukeni,hawana nidhamu,wanagonga watoto wadogo barabarani na kukimbia bila kusimama kuwasaidia,nasema acha yafe mpaka watakapopata akili.
Wanagonga magari ya watu na kukimbia, wanagonga wapita njia kwenye sehemu maalum ya wapita njia. Yaani wana laana zote
 
Hawa jamaa wanagonga Magari ya watu alafu wanakimbia kwenye Trafic jam
Wanatembea na laana za watu hawa
 
Hili ni janga la kitaifa.......Hivi ni Tz tu au ni Dunia nzima kwa ujumla?
 
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.
Mh! Kapigwa juju huyooo
 
[emoji849][emoji849]
 
Upo sahihi kabisa.!
 
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.
Pengine alikuwa na kifafa
 
Kumbe huyu mshikaji ni GENTAMYCINE.
Sasa mbona anatumia ID ya Poisonous.
Mssenge atakua alipigwa ban ya maisha [emoji2][emoji2]
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Au wewendiye uliyesababisha ajali nini?
 
Kumbe huyu mshikaji ni GENTAMYCINE.
Sasa mbona anatumia ID ya Poisonous.
Mssenge atakua alipigwa ban ya maisha πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kabadili username pia kuna nyingine anaitumia najua.. nikiitaja wataniban
 
Huyu naye atakuwa alisoma pale SAUT Malimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…