Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

H
Kwa uandishi wako huwa nadhani wewe ni mwamba,jemedari na jasiri sana. Ila kwa hilo la kutoka baru/nduki nakuvua vyeo.

Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.

Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Humu ndani wengi wakikaa nyuma ya Keyboard ndio wanajiona kina Michael dudikofu lakini in real life watanzania wengi ni waoga sana ndio maana hata maandamano ya mange yalifeli endelea kumpa tu vyeo vyake maana humu tunajitutumua tu kujifanya kina anorld shoziniga
 
Kifupi pikipiki zetu za mchina hapa bongo ni kuwa nazo makini halafu madereva wetu ndio hivyo hata sheria hawajui. We mtu anaipepea pikipiki halafu mbaya zaidi hizo boda hazina hata ABS, tairi ikiloki wakati wa breki ya ghafla unaenda nayo chini kishujaa huku kichwa hakina helmet.

Haya ndio naona makosa mengi yanayofanywa na bodaboda wengi;
1. Kupita red light, hili ni tatizo sugu kabisa na lishaota tende
2. Kuovateki upande wa kushoto
3. Kutokufahamu nani mwenye kipaumbele cha kupita kwenye mzunguko
4. Kutovaa helmet na kuchomoa side mirrors
5. Usiku kutembelea high beam
 
Si waliaminishwa kwamba hizo ndio ajira kati ya zile 10000 za jiwe ngoja wakufe tu nyambaf, kuna picha ukiona wanavyoweka vindala vinaning'inia huklu wamekaa upande wanaovertake kulia na kushoto ni kama movie tu, wawaletee na za juu kama ndege waendelee kuwahi kabisaaa
 
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.

Alianguka toka pikipikini au alianguka na pikipiki?
 
Ukirudi Bush watakuambia umemtoa kafara wajinga sana, Mi ndio mana ukitoa ile inner circle ya baba, Mama na biological siblings basi the rest nimeji distance nao haswa

Kuna wa upande Wa mume nilichukua akabeba mimba!

Yaliyonikuta hata ndugu yangu sikai nae
 
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.

Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Barabara hii boda boda zinashindana na magari.
Hao boda boda hawana adabu kabisa.
 
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.

Mpwaa walee jamaa wa.picha pls siwaoni.kumne eaoga wa maitiNHahahahahahhahahaajua
(Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali wza Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Wale jamaa zetu was picha pls wamekula nduki kumbe waoga was maiti hahahaahaaaaaaa

#MAOMBIYENUJAMANINAELEKEANIGERIAMSIBAWATBJOSHUA MCHANAHUUUUU
 
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.

Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Usiombe ukukute
 
Asante kwa Ufafanuzi wako huu ila unaposema alianguka tu Mwenyewe pale inaoneka aligongwa na Gari iliyokimbia, ikamburuta vibaya hadi ' Helmet ' nayo ikamtoka na hata Vioo vilivyopasuka vilionekana nashindwa Kukuelewa. Na Marehemu alionekana Kapasuka Kichwani na alikuwa ni pande la Mtu ( Mnene ) hivi.
Inawezekana hapakuwa na gari ila pia kina taa ikipasuka ni vioo pia
 
Kuna Mmoja mwaka Juzi niko Tegeta Masaiti akanipita kwa Spidi Kali huku akiwa anafanya Mbwembwe ( Mikogo ) yake mbele kidogo akakutana uso kwa uso na IST kwa Hasira niliyokuwa nayo dhidi yake na ukizingatia hata Nauli ya ninakokwenda ilikuwa haijatimia nilipomkuta katupwa Mtaroni akiwa anakaribia kuiacha Dunia wala sikuhangaika nae sana nilimsachi Mfukoni nakukuta ana ' Jero ' tu Pumbavu yule na ' Condoms ' kama Mbili ambazo ' nilizikomba ' zote na kumuacha pale pale ila Simu yake nzuri sikumchukulia kwani shida yangu ilikuwa ni hiyo Nauli tu na zile ' Condoms ' nilizozibahatisha Kumkuta nazo.
Mmmh[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.

Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Gentamycine bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom