GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Kama ni 'too Graphical' baki nayo Mkuu.Natuma video ya iyo ajali mkuu au jf hawaruhusu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni 'too Graphical' baki nayo Mkuu.Natuma video ya iyo ajali mkuu au jf hawaruhusu?
Kwa uandishi wako huwa nadhani wewe ni mwamba,jemedari na jasiri sana. Ila kwa hilo la kutoka baru/nduki nakuvua vyeo.
Humu ndani wengi wakikaa nyuma ya Keyboard ndio wanajiona kina Michael dudikofu lakini in real life watanzania wengi ni waoga sana ndio maana hata maandamano ya mange yalifeli endelea kumpa tu vyeo vyake maana humu tunajitutumua tu kujifanya kina anorld shozinigaKwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.
Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Ukakimbia?
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.
Ukirudi Bush watakuambia umemtoa kafara wajinga sana, Mi ndio mana ukitoa ile inner circle ya baba, Mama na biological siblings basi the rest nimeji distance nao haswa
Barabara hii boda boda zinashindana na magari.Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.
Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Wanakufa sana lakini hawasikii!Bodaboda wasipo tuliza wenge barabarani watapasuliwa sana!! Most of them ni wapuuzi na hawajui sheria na hawana nidhamu wakiwa barabarani....Itoshe kusema wapasuliwe tu maana hakuna namna kwa madereva wazembe.
Jamaa pia nilijua yupo mstari wa mbele vitani.. Kumbe anatanguliza nyoya..Kwa uandishi wako huwa nadhani wewe ni mwamba,jemedari na jasiri sana. Ila kwa hilo la kutoka baru/nduki nakuvua vyeo.
Wale jamaa zetu was picha pls wamekula nduki kumbe waoga was maiti hahahaahaaaaaaaKwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Mpwaa walee jamaa wa.picha pls siwaoni.kumne eaoga wa maitiNHahahahahahhahahaajua
(Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.
Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali wza Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Alianguka na pikipiki ila mbaya zaidi aliangukia kisogo na kofia ilivunjika kabisa!!!Alianguka toka pikipikini au alianguka na pikipiki?
Usiombe ukukuteKwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.
Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
bro genta nilijua unaishi nje ya nchi asee nipate koneksheni, kumbe upo goba hapo mkuu
Inawezekana hapakuwa na gari ila pia kina taa ikipasuka ni vioo piaAsante kwa Ufafanuzi wako huu ila unaposema alianguka tu Mwenyewe pale inaoneka aligongwa na Gari iliyokimbia, ikamburuta vibaya hadi ' Helmet ' nayo ikamtoka na hata Vioo vilivyopasuka vilionekana nashindwa Kukuelewa. Na Marehemu alionekana Kapasuka Kichwani na alikuwa ni pande la Mtu ( Mnene ) hivi.
[emoji16][emoji16]Wewe si ulikua unataka watu waandamane kwa Hali hii si ulikua unataka ututoe chambo?
Mmmh[emoji848]Kuna Mmoja mwaka Juzi niko Tegeta Masaiti akanipita kwa Spidi Kali huku akiwa anafanya Mbwembwe ( Mikogo ) yake mbele kidogo akakutana uso kwa uso na IST kwa Hasira niliyokuwa nayo dhidi yake na ukizingatia hata Nauli ya ninakokwenda ilikuwa haijatimia nilipomkuta katupwa Mtaroni akiwa anakaribia kuiacha Dunia wala sikuhangaika nae sana nilimsachi Mfukoni nakukuta ana ' Jero ' tu Pumbavu yule na ' Condoms ' kama Mbili ambazo ' nilizikomba ' zote na kumuacha pale pale ila Simu yake nzuri sikumchukulia kwani shida yangu ilikuwa ni hiyo Nauli tu na zile ' Condoms ' nilizozibahatisha Kumkuta nazo.
Gentamycine bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.
Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda 'hasa' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani huna ubinadamu kabisa,umefanya jambo la hovyo sana roho mbaya kama ya Magufuli.