Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Mimi nipepunguza vyeo vyake pia, huyu mwamba nilijua hata mbinu za medani anazijua na kumsambaratisha mtu ubongo ni kitu cha kawaida, sasa kukimbia eneo la tukio bila kukusanya taarifa za kiintelijsensia inaleta ukakasi kwenye vyeo nilivyokuwa naamini anavyo
Semeni yote ila Jana nilitoka Baru kweli.
 
Siyo Mzoefu sana wa hilo eneo kwani nilikuwa naenda ' Kumbandua ' Demu Mmoja na baada ya Tukio hilo hata ' Nyege ' zenyewe nazo zilinikimbia Mwilini na nikageuza nilipotoka.

Nadhani panaitwa sijui kwa Mpemba ambapo kutoka hapo na ile Kona ya Kuelekea Massana Hospital siyo mbali na pia kuna ATM ya CRDB na panaonekana pia ni ' Ushuani ' fulani hivi.
Boda boda wana kituo chao pale goig kama unaenda tegeta kipo kushoto.

So sad kwa hao madereva, unashinda na mwenzako kituoni siku nzima halafu saa moja usiku anakufa.
 
Boda wengi wanaendesha hizo pikipiki kana kwamba hawana wazazi. Yaani kama wao hawajali maisha yao, basi wangejali kuwa wana wazazi wao ambapo wakifa wataawaachia majonzi. Very Sad
 
Kwahiyo alijiangusha
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.
 
Boda wengi wanaendesha hizo pikipiki kana kwamba hawana wazazi. Yaani kama wao hawajali maisha yao, basi wangejali kuwa wana wazazi wao ambapo wakifa wataawaachia majonzi. Very Sad
Najitahidi mno 'Kuwaelimisha' hawasikii.
 
Aah sikushangai kukimbia, mie nilishuhudia ajali ya boda boda na nilikuwa nakwenda dukani. Walah nilisahau hata nilikokuwa nakwenda nikajikuta nyumbani hata sijielewi. Kushuhudia mwili uliopata ajali tena ajali mbaya sio kitu rahisi lazima akili ivurugike kidogo.
 
Leo nachekwa kutoka 'Baru' kuona Ajali.
 
Back
Top Bottom