Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Chadema ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 basi nipigwe ban JF la MAISHA. Na hata nisipopigwa ban, mimi nitaacha kuwa member wa JF na nitajiondia. Itunze post yangu kwa rejea baada ya uchaguzi.Walikuwa wabunge wa Sultani Mbowe mliyemtaka kwa nguvu zote CCM ili aendelee kuuharibu upinzani,sasa chuma kimeingia hakitaki ujinga
Huyo mzee ameshindwa siasa anafuta kiki za kipumbavu. Ni threat kvp mpk afuatiliwe? Bwege tu hiloSiku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.
Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”
Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa
Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia
View attachment 3240687
Unaelewa ulichokiandika?Uzuri watakao kuua na kukutishia wanajitengenezea laana .Ona sasa watoto wa viongozi walivyo kaputi .Viongozi wanaumwa magonjwa ya kutatanisha nk .Na wao hawaishi milele watakufa tu hata uwe raisi au papa.
Wamekuulia nani hapo kwenuCCM ni genge la wauaji
Ccm ni chama cha kishetani siku hizi! Huko nyuma hatukuwahi kuona mambo ya ajabu kama tunavyoyaona siku hizi chini ya uongozi wa Samia!! Magenge ya wahuni kuteka watu na kuwaua mara wanapokosoa serikali au Samia mwenyewe!! Wanatumia MAFIA style of intimidating people so as to silence them ; serikali kubariki vitendo kama Hivi ni kuonesha udhaifu mkubwa sana.Sio muda mrefu utasikia amebambikiwa kesi mbaya.
ajira ni 600 zilizo tolewa na sirikali,jadilini haya acheni upuuziMchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Anzisha uzi tujadili.ajira ni 600 zilizo tolewa na sirikali,jadilini haya acheni upuuzi
Si ndio kamuachia Mungu soma hadi mwishoMchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Mi ntatembelea tumbo kutoka mwanza hadi mtwaraChadema ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 basi nipigwe ban JF la MAISHA. Na hata nisipopigwa ban, mimi nitaacha kuwa member wa JF na nitajiondia. Itunze post yangu kwa rejea baada ya uchaguzi.
Acha uoga wa maishaWewe endeleene kumjaza ujinga hao snapambana nao siyo watu ni wanyama.
Nyerere au mandela wangekuwa na akili kama zako tusingepata uhuruTatizo kamdomo huo ukweli una faida gani kwenye maisha yake angeteuliwa yeye kuwa mgombea pekee wa ubunge jimboni kwake angeongea hizo pumba zake.Kazi kutafuta umaarufu usio na msingi au alilazimishwa kuwa CCM,wanachana wamekaa wakakubaliana nani awe mgombea wao na wakapitisha hivyo huyo mchungaji aendelee na maisha yake siasa haziwezi aendelee na waumini wake.
Jibu hoja zake sio kosa mtu kutaka kugombeaIn short huyu mzee ni opportunist, hana lolote alikua anatafuta tuu umaharufu, 2015 aligombea uraisi kupitia CCJ, sasa anatafuta ku rudi.
Ruhusuni uchaguzi huru kama mnajiaminiMi ntatembelea tumbo kutoka mwanza hadi mtwara
Hoja gani wewe msukule?Jibu hoja zake sio kosa mtu kutaka kugombea
Yaani mtu atake kutimiza haki yake ya kikatiba umuite opportunist ila tuna misukule mingi nchi hii
Unadhani Nyerere Alikuwa anapambana na watu wanamna hii pia kipindi Nyerere anapambana Watanzania tulikuwa wamoja, hivi sasa Watanzania ni wanafiki na wapenda fedha kupita kiasi na si wazalendo hata kidogo kwahiyo wewe ukinyifanya mmzalendo unaachwa peke yako na unaweza ukadhani wengine wapo na wewe kumbe hao ndiyo,, na wabaya wako. Kuendesha Harakati kwen,, ye nchi hii ni hatari sana afadhali hata Uuganda kipindi cha Idi amini kwa sababu watu mlikuwa mnajuwana kuwa huyu yupo mrengo ganiAcha uoga wa maisha
Unafikiri nyerere angekua na fikra kama zako tungepata uhuru
Ndo unachojua kuita watu misukuleHoja gani wewe msukule?