Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unaakili ndogo sana comment zako nyingi unaongea ujinga sanaBasi mwambie mchungaji akimbilie Ubelgiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaakili ndogo sana comment zako nyingi unaongea ujinga sanaBasi mwambie mchungaji akimbilie Ubelgiji
si nasikia nyie wayahudi mnaoan nyie kwa nyie kulikoni tena unaoa bongo...Hahaha umenifanya nicheke kwa sauti. Unavituko sana baby😅🤣🤣
Kama ni hivyo why akafukuzwa?Huyo wenge ndio litamuua na sio kingine. Yaani CCM itishwe na mtu ndogo kama huyo? Ujinga kabisa!
Una-upeo mdogo sana akili kama za kukuUwende mwenyewe ukalivurumue mzinga wa nyuki unategemea nini hao wenzako hawana mdhaha hata kifogo hasa likija swala la Madaraka ukilita masihara watakubadisha jina kweli. We endelea kulabila labila tu.
Nilipokuwa nina mdate nilimpima dna nikamkuta ni myahudi 😆😅😅si nasikia nyie wayahudi mnaoan nyie kwa nyie kulikoni tena unaoa bongo...
Mbona wachungaji wengine wanamabodigadiMchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Ni majambazi, wana mabilioni ya pesa walizoiba kwa waumini waoMbona wachungaji wengine wanamabodigadi
Ko unafurahi binadamu mwenzako kuja kupoteza uhai aisee tuna kizazi cha kimasikini cha hovyo mamluki wachumia tumbo na masikini wa kiroho na kinafsi niseme tu umezingua kushabikia ujinga na utumbo trust kama unafurahi kiasi icho huwez pata dhawabu kwa allahBado hajasema atajua hajui
Hapana sifurahiiKo unafurahi binadamu mwenzako kuja kupoteza uhai aisee tuna kizazi cha kimasikini cha hovyo mamluki wachumia tumbo na masikini wa kiroho na kinafsi niseme tu umezingua kushabikia ujinga na utumbo trust kama unafurahi kiasi icho huwez pata dhawabu kwa allah
Hilo nilitegemeaSiku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.
Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”
Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa
Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia
View attachment 3240687
Wasiwasi wake tu...hajasema kuwa katishiwa bali ni hisia zake za uwoga tu.....Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.
Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”
Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa
Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia
View attachment 3240687
Kwanini Chadema inang'ang'ania kuwafikuza watu inaowaita COVID 19?Kama ni hivyo why akafukuzwa?
Na kwa nini CCM inawatetea sana wabunge wa COVID 19?Kwanini Chadema inang'ang'ania kuwafikuza watu inaowaita COVID 19?
We una akili fupi sana, kukosoa ni muhimu na Kuna nyoosha mamboHili niwaambie ukweli, kukosoa jambo la mtu ni kukosoa watu wote wenye imani nao, nakukuweka ww kwenye hali mbaya. Katika eneo lolote la maisha.
Watanzania tujifunze hapa haswa vijana. Mzee huyu kakosa tu kaba na Hana Aibu.
Binadamu lazma uwe na kaba na aibu katika matendo yako narudia haswa sisi watanzania.
Kuishi na walimwengu yahitaji uvumilivu sana.
Hata wewe mwanajf leo, mtu akimsema mtu ambae wewe ni rafiki au mkaribu wako, huyo mtu kwako ni kikwazo na hafai.
Kuna watu tunawaona wako radhi wakumalize kwasababu yamapenzi yao au itikadi zao. Tunachoona drc, palestine, malawi, wakulima na wamasai, haya yote yanatengenezwa kwasababu ya utofauti wa itikadi za makundi haya.
Bwana malisa awe ametishwa au hajatishwa, tishio lake kubwa ni watu wenye mapenzi na Raisi na CCM.
Ukiwa against ukawapandisha hasira hawa, tena mbaya huwafahamu kabisa. Watakuumiza watakuua, wapo watu hapa Tanzania wako hvo haswa vijana wakisasa hawa.
Na kwanini Chadema inawapiga vita wabunge wa COVID-19 na wakati wanasema waliishawafukuza uwanachama?Na kwa nini CCM inawatetea sana wabunge wa COVID 19?
Wewe endeleene kumjaza ujinga hao snapambana nao siyo watu ni wanyama.Una-upeo mdogo sana akili kama za kuku
Walikuwa wabunge wa Sultani Mbowe mliyemtaka kwa nguvu zote CCM ili aendelee kuuharibu upinzani,sasa chuma kimeingia hakitaki ujingaNa kwanini Chadema inawapiga vita wabunge wa COVID-19 na wakati wanasema waliishawafukuza uwanachama?
Anaitwa Gilbert A MassaweKuna yule kijana wa kichaga aliyemlisha sumu marehemu Thadei Ole Mushi nafikiri ndiye amepewa hiyo kandarasi