Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado hajasema atajua hajui
Ko unafurahi binadamu mwenzako kuja kupoteza uhai aisee tuna kizazi cha kimasikini cha hovyo mamluki wachumia tumbo na masikini wa kiroho na kinafsi niseme tu umezingua kushabikia ujinga na utumbo trust kama unafurahi kiasi icho huwez pata dhawabu kwa allah
 
Hapana sifurahii
 
Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.

Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”

Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa

Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia

View attachment 3240687
Hilo nilitegemea
 
Wasiwasi wake tu...hajasema kuwa katishiwa bali ni hisia zake za uwoga tu.....

Dr.Malisa anatuchezea tu akili.....
 
Hili niwaambie ukweli, kukosoa jambo la mtu ni kukosoa watu wote wenye imani nao, nakukuweka ww kwenye hali mbaya. Katika eneo lolote la maisha.
Watanzania tujifunze hapa haswa vijana. Mzee huyu kakosa tu kaba na Hana Aibu.

Binadamu lazma uwe na kaba na aibu katika matendo yako narudia haswa sisi watanzania.
Kuishi na walimwengu yahitaji uvumilivu sana.
Hata wewe mwanajf leo, mtu akimsema mtu ambae wewe ni rafiki au mkaribu wako, huyo mtu kwako ni kikwazo na hafai.

Kuna watu tunawaona wako radhi wakumalize kwasababu yamapenzi yao au itikadi zao. Tunachoona drc, palestine, malawi, wakulima na wamasai, haya yote yanatengenezwa kwasababu ya utofauti wa itikadi za makundi haya.
Bwana malisa awe ametishwa au hajatishwa, tishio lake kubwa ni watu wenye mapenzi na Raisi na CCM.

Ukiwa against ukawapandisha hasira hawa, tena mbaya huwafahamu kabisa. Watakuumiza watakuua, wapo watu hapa Tanzania wako hvo haswa vijana wakisasa hawa.
We una akili fupi sana, kukosoa ni muhimu na Kuna nyoosha mambo
 
Na kwanini Chadema inawapiga vita wabunge wa COVID-19 na wakati wanasema waliishawafukuza uwanachama?
Walikuwa wabunge wa Sultani Mbowe mliyemtaka kwa nguvu zote CCM ili aendelee kuuharibu upinzani,sasa chuma kimeingia hakitaki ujinga
 
Back
Top Bottom