why dont you tell her face to face instead of lamenting here?Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Hiki ndio kinawakuta wasichana almost 99% wazuri wazuri.Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Anafikisha ujumbe kwa wengi.why dont you tell her face to face instead of lamenting here?
Sio kweli kila mtu aoe aliyemjali maishani.😅😅Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana..Kama ambavyo Dada zako na Watoto zako wanavyozungushwa..wanavyochezewa na kudampiwaKatika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
Mnaoa sasa hao waliokuwa nanyi wakati hamna kitu? Tunawaona sana wengi hubadilika.Sio kweli kila mtu aoe aliyemjali maishani.[emoji28][emoji28]
We jamaa una roho ya kawaida kweli?Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
sidhani, ana uchungu tu na mwanamke wakeAnafikisha ujumbe kwa wengi.
Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka ndoaWaje niwape hifadhi huku kijiji kwetu nina ekari kubwa wataishi kwa furaha ata wakiwa 50+
Siku hizi nimekuwa mvivu kuchangia nyuzi kama hizi, dah,,Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.Mnaoa sasa hao waliokuwa nanyi wakati hamna kitu? Tunawaona sana wengi hubadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni wewe na hongera kwa hilo ila kuna wenzako wakikamata pesa hawaonekani.Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.
Nilivvyokuw sina kitu hao wazuri wazuri na wasomi hawakunijali kabisa.
Nilivyozinyaka nikapeleka upendo kwa Yule aliyeniona nina thamani akanipe utelezi kipindi cha stress na hali ngumu.
Mpaka leo niko naye anatembe amekaa[emoji28][emoji28]
Kabisa yaani.Wakipata pesa wanaanza kuona wapo sehemu hawastahili wanatafuta sehemu nyingine.Ila hii huwa inanihudhunisha Ila ndo vile wengine wanakaa na mwanamke kwa sababu hawana options kutokana na kipato duni Ila akizipata ndo anaanza kutafuta wale moyo wake umeridhia..
[emoji3514][emoji3514]why dont you tell her face to face instead of lamenting here?
Sawa kwani tumekataa.Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Mwanangu una kingereza kikali sana yani nimeambulia neno TUSILAUMIANE NA HATUNA KITUSimple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.