Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
why dont you tell her face to face instead of lamenting here?
 
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Hiki ndio kinawakuta wasichana almost 99% wazuri wazuri.

Yaani walipokuw aktk ujana wao bar na restaurant nzuri zote wanazijua wengine hadi nje ya Nchi wamefikishwa

Sasa hivi wananisumbua sana. Mimi nimeoa lakini wanasema hivyo hivyo tu japo wawe kwa jina langu.

Unabii unatimia.
 
Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
Safi sana..Kama ambavyo Dada zako na Watoto zako wanavyozungushwa..wanavyochezewa na kudampiwa
 
Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
We jamaa una roho ya kawaida kweli?

Sisis tumesema wasitusumbue bali tusiwatese pia.
 
Loneliness is a helluva drug..Even if you’re not desperate..even if you realistically have options

Women..or people in general..will see what they wanna see in a person sometime

You have a few dates with a good looking well groomed guy with some social skills..he says a few right things..you see what you want to see

Love and respect yourself and you're gonna be fine. Focus on you and you will attract those worthy😊
 
Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila hii huwa inanihudhunisha Ila ndo vile wengine wanakaa na mwanamke kwa sababu hawana options kutokana na kipato duni Ila akizipata ndo anaanza kutafuta wale moyo wake umeridhia..
 
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Siku hizi nimekuwa mvivu kuchangia nyuzi kama hizi, dah,,
🤣🤣🤣
Ngoja waje
 
Mnaoa sasa hao waliokuwa nanyi wakati hamna kitu? Tunawaona sana wengi hubadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.

Nilivvyokuw sina kitu hao wazuri wazuri na wasomi hawakunijali kabisa.

Nilivyozinyaka nikapeleka upendo kwa Yule aliyeniona nina thamani akanipe utelezi kipindi cha stress na hali ngumu.

Mpaka leo niko naye anatembe amekaa😅😅
 
Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.

Nilivvyokuw sina kitu hao wazuri wazuri na wasomi hawakunijali kabisa.

Nilivyozinyaka nikapeleka upendo kwa Yule aliyeniona nina thamani akanipe utelezi kipindi cha stress na hali ngumu.

Mpaka leo niko naye anatembe amekaa[emoji28][emoji28]
Huyo ni wewe na hongera kwa hilo ila kuna wenzako wakikamata pesa hawaonekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii huwa inanihudhunisha Ila ndo vile wengine wanakaa na mwanamke kwa sababu hawana options kutokana na kipato duni Ila akizipata ndo anaanza kutafuta wale moyo wake umeridhia..
Kabisa yaani.Wakipata pesa wanaanza kuona wapo sehemu hawastahili wanatafuta sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Sawa kwani tumekataa.
 
Mwanangu una kingereza kikali sana yani nimeambulia neno TUSILAUMIANE NA HATUNA KITU
1681398613804.jpg
 
Back
Top Bottom