Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tatizo wengi wanaona walale njaa mjini kuliko kushiba kijijiniWaje niwape hifadhi huku kijiji kwetu nina ekari kubwa wataishi kwa furaha ata wakiwa 50+
Ewaaa....mNi mtazami tu,inaelekea hao waliokuwa wanampeleka outing,wameishiwa,wapo juu ya mawe!
Shemeji yenu nilianza kumpeleka outing na kula bata akiwa form six,ameingia chuo,mpaka anamaliza,ni kula bata tu,likizo tupo Zenj,wazazi was najua yupo campus,leo ndoa ina miaka 12!!
Msiwalaumu mabinti,hakuna anayetaka kuishi kwenye shida,tafuteni pesa,Binti kula bata za njemba,harsfu njemba ikafilisika,isionekane ni kosa,
Huyo ni wewe na hongera kwa hilo ila kuna wenzako wakikamata pesa hawaonekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Hii ni ngumu sana kwa wanawake wa miaka 18-25, maana wale ambao ni worthy hawaonyeshi tabia halisi za mwanaume, wako submissive na nyie hamuwataki, ila wale playboys wanaonyesha Kila sifa ya mwanaume halisi ambaye wanawake wengi wanataka, at the end of the day kinawatokea Cha kutokea mnaanza kumuomba Mungu akupatie mcha Mungu na Mungu alivyo fundi anakupatia wa kufanana naye, nimeshuhudia na Mungu hakosei kabisa.Loneliness is a helluva drug..Even if you’re not desperate..even if you realistically have options
Women..or people in general..will see what they wanna see in a person sometime
You have a few dates with a good looking well groomed guy with some social skills..he says a few right things..you see what you want to see
Love and respect yourself and you're gonna be fine. Focus on you and you will attract those worthy😊
Waambie hivi.....ukiona unapewa mitoko matata jiandae kisaikolojia...hiyo ndio pensheni na usitegemee ipo siku utaitwa mama mwenye nyumba.Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]agiza soda kwa jina languHii ni ngumu sana kwa wanawake wa miaka 18-25, maana wale ambao ni worthy hawaonyeshi tabia halisi za mwanaume, wako submissive na nyie hamuwataki, ila wale playboys wanaonyesha Kila sifa ya mwanaume halisi ambaye wanawake wengi wanataka, at the end of the day kinawatokea Cha kutokea mnaanza kumuomba Mungu akupatie mcha Mungu na Mungu alivyo fundi anakupatia wa kufanana naye, nimeshuhudia na Mungu hakosei kabisa.
😅😂 Mimi dada zangu wamelelewa vzuri na walizingatia mafunzo ya wazazi na dini na hatimae wana maisha mazuri na familia nzuri...Safi sana..Kama ambavyo Dada zako na Watoto zako wanavyozungushwa..wanavyochezewa na kudampiwa
Ana makasiriko vibaya sijui alifanyiwa nniUmesoma uzi mpaka mwisho lakini?
sahihi kabisa, halafu wanakuja hapa kujidai kutema nyongoMnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka ndoa
Tatizo wengi wanaona walale njaa mjini kuliko kushiba kijijini
Kuyaelewa haya maisha yanataka uwe na Imani kuwa ipo siku utakufa tu
Kwa hiyo ni bora kuwa na furaha kuliko kuishi kwa mateso
Bora umetoa ofa
Naunga mkono hojaMnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ushaskia watu wanasema tunasukuma siku, bhasi hilo ndo linalomaanishwa.. Mtu anakaa na wewe kwa sababu wale anaowataka wamemkataaKabisa yaani.Wakipata pesa wanaanza kuona wapo sehemu hawastahili wanatafuta sehemu nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.
Nilivvyokuw sina kitu hao wazuri wazuri na wasomi hawakunijali kabisa.
Nilivyozinyaka nikapeleka upendo kwa Yule aliyeniona nina thamani akanipe utelezi kipindi cha stress na hali ngumu.
Mpaka leo niko naye anatembe amekaa[emoji28][emoji28]
Duuh una maneno makaliVikiwa bado visichana vinajifanya vipo hot na expensive! Wakishafikisha miaka 30 na kuwa mangoro wanaanza kuhaha na kupanick na kwenda kwenye maombi na kwa waganga ili waolewe. Wanaishia kuwa single maza and very bitter! Stupids!!