Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

Jamani mbona ni stori tu na nyie mmeweka ugomvi tena? Jf ni mahala pa furaha bana. Acheni hizo
 
Kwahiyo kama relationship haisomeki ukae tu kisa ndoa. Au usile good times kisa huto olewa na huyo jamaa? Muda unavyozid kwenda ndoa haitokua priority tena kwa wadada itakua viceversa
On your dreams lady,, on your dreams[emoji28]
 
Wanawake kuna umri wakifika bila kuolewa unaweza kuwaonea huruma.
Labda awe na hela tu vinginevyo ataanza kuwaamkia hadi vichaa
Mwanamke anahitaji ndoa kuliko pesa. Tena mwenye pesa anakuwa na wakati mgumu zaidi kuliko ambaye hana.

Mwanamke akiwa na pesa wanaume tunamkwepa maana tunaona hapa ndoa haitakuwa ya amani. Pili tunajua atakuwa hatuhitaji sana.

So nadhani mwenye pesa anawakati mgumu zaidi.
 
Inategemea wewe mwanamke ulikuwa unaishi nae vipi huyo mwanaume kipindi anajitafuta. Ulikuwa unakaa nae kama umelazimishwa au unakaa nae kwa upendo na mapenzi ya hali ya juu hadi akajiona ana bahati ya nadra.

Unaishi na mwanaume hana pesa anajitafuta kila siku ni kutafuta hoja za kumlaumu. Mara akufumanie na sms unachat na jitu mnatakana huko akikumind unatishia kuondoka anaamua kuwa mpole ili asijekukosa hata wa kuishi nae ampe company.

Hauna lugha nzuri, unamuita kwa jina lake na wala sio majina ya mahaba. Haumuonyeshi heshima unaishi nae kama basi tu yaani bora liende na unamuonyesha ile taswira ya kuwa muda wowote ukizingua naweza kusepa nikakuacha mwenyewe uendelee kupambana na haya maisha. Mimi huko nje kuna wanaume wengi sana wananitaka.

Siku jamaa mambo yakianza mkamlia vizuri ukianza kujileta kwake unategemea ataanzaje kukupenda tena ya dhati ataanza kukukwepa na kukuona kero. Tunayaona haya ila ni vile wanaume huwa hatuongei sana ni watu wa matendo.

Usije ukaishi vibaya na mwanaume ukitegemea eti atasahau baadae atakuwa bwege. Wanaume tunawaheshimu na kuwapenda sana wanawake ambao wanahuruma sana na sisi na kututunzia heshima zetu pamoja na mali zetu.
 
Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
Bro mbona umeandika kwa machungu yaliyopoa sana kiasi hiki. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmmmhmn kwahiyo umeamua utuchanganye hapa na haya maneno classic ya English nyau wewe.
 
BRO, WATU WA STAREHE WANA CHAPA NA KUONDOKA.
SIKU HIZI WANACHAPA KOTEKOTE, KUFIDIA GHARAMA ZAO, NA KUONDOKA.
 
Upo sahihi, Ila mimi nilimaanisha wanawake waliokaa vyema na wapenzi wao kipindi hawana kitu lkn ghafla wanaume wanabadilika pesa zikiwatembelea hawa ndio nazungumzia.Nilichogundua wanaume wengi wakikosa pesa hata machaguo ya wanawake yanakua finyu. Ndio mana kuna hao wakizipata wanaanza kutafuta wale ambao hawakuweza kuwapata kipindi wapo majalala na ndio shida huanza hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'In' sir not 'on' [emoji6]
Hello Mrs Van, i hope my comment finds you well. I was wondering if i could take you out for a cup of coffee sometime during your free hours[emoji18]. Mr Van shouldn't know about it of course. [emoji2958][emoji850][emoji6]
 
Upendo na heshima ni vitu viwili ambavyo vina nguvu ya ajabu sana kwenye mahusiano na vikitolewa bila masharti huwa vinakuwa na matokeo mazuri sana baadae.

Wengi huwa wanakosea hapa wanavitoa kwa masharti na ndipo huwa vinakosa maana na uzito.
 
Salale maziwa yashamwagwa kwenye mchanga huwezi kuyarudisha tena kwenye kikombe.Watajijua na mapengo yao na waliokula nao bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…