Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kikubwa siku zisogeeSi ushaskia watu wanasema tunasukuma siku, bhasi hilo ndo linalomaanishwa.. Mtu anakaa na wewe kwa sababu wale anaowataka wamemkataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa siku zisogeeSi ushaskia watu wanasema tunasukuma siku, bhasi hilo ndo linalomaanishwa.. Mtu anakaa na wewe kwa sababu wale anaowataka wamemkataa
Jamani mbona ni stori tu na nyie mmeweka ugomvi tena? Jf ni mahala pa furaha bana. Acheni hizo😅😂 Mimi dada zangu wamelelewa vzuri na walizingatia mafunzo ya wazazi na dini na hatimae wana maisha mazuri na familia nzuri...
Dada zangu sio malaya sio madanga sio makahaba sio masingo maza kama wewe, umejaa laana kwa kulala na kila aina ya mwanaume umejaa laana kwa kukojolewa hovyo na wanaume... Umechoka umefubaa na mawigi yako sasa unalazimisha vijana wakuoe, akuoe nani ajuza usie na mbele wala nyuma utafia kwenu huna lolote zaidi ya magonjwa ya ngono, wakat wenzako walikua wanatunza usichana wao wewe ulikua unazurura kila club bar na pub kunywa pombe ngono na shisha 😂😅 ng'ombe tasa wewe acha kurukia wanaume usiowajua...
On your dreams lady,, on your dreams[emoji28]Kwahiyo kama relationship haisomeki ukae tu kisa ndoa. Au usile good times kisa huto olewa na huyo jamaa? Muda unavyozid kwenda ndoa haitokua priority tena kwa wadada itakua viceversa
'In' sir not 'on' [emoji6]On your dreams lady,, on your dreams[emoji28]
Ooooh,,alright,, in your dreams lady[emoji16] in your dreams [emoji16]'In' sir not 'on' [emoji6]
Umepatia sasa. Ila tukija kwenye ukweli utakumbuka maneno yangu siku moja.Ooooh,,alright,, in your dreams lady[emoji16] in your dreams [emoji16]
How about that! [emoji41]
What's the reason behind your theory [emoji16]Umepatia sasa. Ila tukija kwenye ukweli utakumbuka maneno yangu siku moja.
Mbona kasema pale kwa wale inaowahusu hajasema kwa wote.Sio kila ambae hajaolewa alipelekwa hotel kubwa, Acha makasiriko
Mwanamke anahitaji ndoa kuliko pesa. Tena mwenye pesa anakuwa na wakati mgumu zaidi kuliko ambaye hana.Wanawake kuna umri wakifika bila kuolewa unaweza kuwaonea huruma.
Labda awe na hela tu vinginevyo ataanza kuwaamkia hadi vichaa
Mpaka hapa score board inasoma 1-1Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea wewe mwanamke ulikuwa unaishi nae vipi huyo mwanaume kipindi anajitafuta. Ulikuwa unakaa nae kama umelazimishwa au unakaa nae kwa upendo na mapenzi ya hali ya juu hadi akajiona ana bahati ya nadra.Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro mbona umeandika kwa machungu yaliyopoa sana kiasi hiki. [emoji23][emoji23][emoji23]Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
Mmmmmmhmn kwahiyo umeamua utuchanganye hapa na haya maneno classic ya English nyau wewe.Loneliness is a helluva drug..Even if you’re not desperate..even if you realistically have options
Women..or people in general..will see what they wanna see in a person sometime
You have a few dates with a good looking well groomed guy with some social skills..he says a few right things..you see what you want to see
Love and respect yourself and you're gonna be fine. Focus on you and you will attract those worthy[emoji4]
BRO, WATU WA STAREHE WANA CHAPA NA KUONDOKA.Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Upo sahihi, Ila mimi nilimaanisha wanawake waliokaa vyema na wapenzi wao kipindi hawana kitu lkn ghafla wanaume wanabadilika pesa zikiwatembelea hawa ndio nazungumzia.Nilichogundua wanaume wengi wakikosa pesa hata machaguo ya wanawake yanakua finyu. Ndio mana kuna hao wakizipata wanaanza kutafuta wale ambao hawakuweza kuwapata kipindi wapo majalala na ndio shida huanza hapo.Inategemea wewe mwanamke ulikuwa unaishi nae vipi huyo mwanaume kipindi anajitafuta. Ulikuwa unakaa nae kama umelazimishwa au unakaa nae kwa upendo na mapenzi ya hali ya juu hadi akajiona ana bahati ya nadra.
Unaishi na mwanaume hana pesa anajitafuta kila siku ni kutafuta hoja za kumlaumu. Mara akufumanie na sms unachat na jitu mnatakana huko akikumind unatishia kuondoka anaamua kuwa mpole ili asijekukosa hata wa kuishi nae ampe company.
Hauna lugha nzuri, unamuita kwa jina lake na wala sio majina ya mahaba. Haumuonyeshi heshima unaishi nae kama basi tu yaani bora liende na unamuonyesha ile taswira ya kuwa muda wowote ukizingua naweza kusepa nikakuacha mwenyewe uendelee kupambana na haya maisha. Mimi huko nje kuna wanaume wengi sana wananitaka.
Siku jamaa mambo yakianza mkamlia vizuri ukianza kujileta kwake unategemea ataanzaje kukupenda tena ya dhati ataanza kukukwepa na kukuona kero. Tunayaona haya ila ni vile wanaume huwa hatuongei sana ni watu wa matendo.
Usije ukaishi vibaya na mwanaume ukitegemea eti atasahau baadae atakuwa bwege. Wanaume tunawaheshimu na kuwapenda sana wanawake ambao wanahuruma sana na sisi na kututunzia heshima zetu pamoja na mali zetu.
It's "in your dreams" not "on your dreams"On your dreams lady,, on your dreams[emoji28]
Hello Mrs Van, i hope my comment finds you well. I was wondering if i could take you out for a cup of coffee sometime during your free hours[emoji18]. Mr Van shouldn't know about it of course. [emoji2958][emoji850][emoji6]'In' sir not 'on' [emoji6]
Upendo na heshima ni vitu viwili ambavyo vina nguvu ya ajabu sana kwenye mahusiano na vikitolewa bila masharti huwa vinakuwa na matokeo mazuri sana baadae.Upo sahihi, Ila mimi nilimaanisha wanawake waliokaa vyema na wapenzi wao kipindi hawana kitu lkn ghafla wanaume wanabadilika pesa zikiwatembelea hawa ndio nazungumzia.Nilichogundua wanaume wengi wakikosa pesa hata machaguo ya wanawake yanakua finyu. Ndio mana kuna hao wakizipata wanaanza kutafuta wale ambao hawakuweza kuwapata kipindi wapo majalala na ndio shida huanza hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app