Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

🤣🤣🤣🤣
Mpe mpee mkuu! Ikibidi na huu uzi mtumie link kabisa asikutanie!! Ujana ale na nani halafu uzee aje akustress!!!!
 
Wanawake kuna umri wakifika bila kuolewa unaweza kuwaonea huruma.
Labda awe na hela tu vinginevyo ataanza kuwaamkia hadi vichaa
Dogo. Hata akiwa na hela. Yuko tayari kupeleka mahari kwa wazazi wake uonekane wewe ndio umetoa. Yametoka mara nyingi tu. Ila akishakuweka ndani kwa ng'uu ndani na nje. Anakupiga kiburi siku yoyote lakini status alishaolewa.
 
Ushu sio kumpleka hotel, Wanaume mara nyingi tunakuwa na nia nzuri mwanzoni, sasa unakuta Mwanamke anachukulia kama umekwama kwake chochote utampa, anaamua kutafta kabwana kengine. Unakula pesa zangu nikijua unacheat hata siulizi nakuacha tu, ndio haooo mnasema wametelekezwa kumbe matatizo yao binafsi.
 
Wanawake wengi sana wana changamoto kubwa ambayo ni uwezo hafifu wa kuona potentials za mwanaume ili waji-commit. Wengi wanatumia wrong criteria ku-justify potentials za wanaume na kuacha uhalisia lakini mwishoni kilomita zikienda ndo wanajua ukweli.

Mwanamke akiona umependeza, una kiusafiri na unaweza kubadili restaurant za kumpeleka kwenda dinner atakuheshimu na anaweza kukusikiliza hata kama hauonyeshi maono ya kufika mbali. yupo radhi kukuvulia nguo unavyotaka. Ila ukiwa na maono nae na kwa bahati mbaya ukawa hujajipata hata kama unajituma kiasi gani ataishia kukudharau na kukupotezea.

Wengi hawaamini katika michakato. Bali wanapenda mafanikio na hawataki kusikia chochote kuhusu michakato ya kufika huko. Nitamheshimu sana mwanamke ambaye atanipenda, kuniridhia na kuamini katika jitihada zangu na akanitia moyo na kunishauri.
 
Aiseee🤣🤣
 
Umemzidi miaka mingapi?
 
Kwahiyo kama relationship haisomeki ukae tu kisa ndoa. Au usile good times kisa huto olewa na huyo jamaa? Muda unavyozid kwenda ndoa haitokua priority tena kwa wadada itakua viceversa
Ndoa sio priority kwa wanaume kwa sasa. Sisi tushaanza nyie mtakuwa mmechelewa sana
 
Nataman ujumbe huu ausome mamaJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…