Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Unabii gani?wanasema hivyo hivyo tu japo wawe kwa jina langu.
Unabii unatimia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabii gani?wanasema hivyo hivyo tu japo wawe kwa jina langu.
Unabii unatimia.
Yes upo sahihi sana.Upendo na heshima ni vitu viwili ambavyo vina nguvu ya ajabu sana kwenye mahusiano na vikitolewa bila masharti huwa vinakuwa na matokeo mazuri sana baadae.
Wengi huwa wanakosea hapa wanavitoa kwa masharti na ndipo huwa vinakosa maana na uzito.
Dogo. Hata akiwa na hela. Yuko tayari kupeleka mahari kwa wazazi wake uonekane wewe ndio umetoa. Yametoka mara nyingi tu. Ila akishakuweka ndani kwa ng'uu ndani na nje. Anakupiga kiburi siku yoyote lakini status alishaolewa.Wanawake kuna umri wakifika bila kuolewa unaweza kuwaonea huruma.
Labda awe na hela tu vinginevyo ataanza kuwaamkia hadi vichaa
Wacha dawa ikuingie vizuri 😁😁😁😁😁😅Tulia wewe.....
Aiseee🤣🤣Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Mm nitaweka lamination kwa lazima.Maisha yamenifundisha kuheshimu kila maamuzi ya mtu!! Ili mradi yamempendeza mwenyewe!!(comment yangu isiwekewe lamination)
Huo sasa ugomvi😁
Comment yako nimeielewa sana [emoji2][emoji2][emoji2]Huo sasa ugomvi[emoji16]
Thank you!!,
Umemzidi miaka mingapi?Ni mtazami tu,inaelekea hao waliokuwa wanampeleka outing,wameishiwa,wapo juu ya mawe!
Shemeji yenu nilianza kumpeleka outing na kula bata akiwa form six,ameingia chuo,mpaka anamaliza,ni kula bata tu,likizo tupo Zenj,wazazi was najua yupo campus,leo ndoa ina miaka 12!!
Msiwalaumu mabinti,hakuna anayetaka kuishi kwenye shida,tafuteni pesa,Binti kula bata za njemba,harsfu njemba ikafilisika,isionekane ni kosa,
Wanaringiana location[emoji23][emoji23][emoji23]Na hapo wanaringiana location
Ndio hivyoWanaringiana location[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh huo mtazamo wako wewe.Hivi kwanini Binadamu wa JF. Hamuwapendi wanawake?
Ndoa sio priority kwa wanaume kwa sasa. Sisi tushaanza nyie mtakuwa mmechelewa sanaKwahiyo kama relationship haisomeki ukae tu kisa ndoa. Au usile good times kisa huto olewa na huyo jamaa? Muda unavyozid kwenda ndoa haitokua priority tena kwa wadada itakua viceversa
Nataman ujumbe huu ausome mamaJInategemea wewe mwanamke ulikuwa unaishi nae vipi huyo mwanaume kipindi anajitafuta. Ulikuwa unakaa nae kama umelazimishwa au unakaa nae kwa upendo na mapenzi ya hali ya juu hadi akajiona ana bahati ya nadra.
Unaishi na mwanaume hana pesa anajitafuta kila siku ni kutafuta hoja za kumlaumu. Mara akufumanie na sms unachat na jitu mnatakana huko akikumind unatishia kuondoka anaamua kuwa mpole ili asijekukosa hata wa kuishi nae ampe company.
Hauna lugha nzuri, unamuita kwa jina lake na wala sio majina ya mahaba. Haumuonyeshi heshima unaishi nae kama basi tu yaani bora liende na unamuonyesha ile taswira ya kuwa muda wowote ukizingua naweza kusepa nikakuacha mwenyewe uendelee kupambana na haya maisha. Mimi huko nje kuna wanaume wengi sana wananitaka.
Siku jamaa mambo yakianza mkamlia vizuri ukianza kujileta kwake unategemea ataanzaje kukupenda tena ya dhati ataanza kukukwepa na kukuona kero. Tunayaona haya ila ni vile wanaume huwa hatuongei sana ni watu wa matendo.
Usije ukaishi vibaya na mwanaume ukitegemea eti atasahau baadae atakuwa bwege. Wanaume tunawaheshimu na kuwapenda sana wanawake ambao wanahuruma sana na sisi na kututunzia heshima zetu pamoja na mali zetu.