TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

Hujui uyasemayo.
 
Hayo.mambo ya Mungu ni yap yasiyokuwa ya kijamii?
 
Jobless kuwa mtumishi wa Mungu siamini sana anyway ni imani yangu
Wengi wa jobless ni njaa imewapeleka huko na wengi ni wapigaji, Mimi wachungaji wangu wote walikuwa na kazi zao nzuri na ni wasomi, so uchungaji ni wito
 
 
 
Sema wengine lkn sio kanisa katoliki
 
Katoliki huajiri jobless wanamchukua kijana jobless wanamsomesha upadri halafu wanampa kazi ya upadri


Wako kibao wanasoma seminary za Katoliki majobless

Mapadri wengi unaowaona walkuwa majobless ajira yao ya kwanza ni upadri
Sidhani kama unajua unachokizungumza mkuu.

Unajua mapadre wana taaluma mbalimbali, kuna madaktari, walimu, wahandisi n.k ?
 
Nyongeza yangu katika hili:
Huyo Mch. Maghembe ni Daktari mpaka leo, sema tu kwa sasa hafanyi tena kazi ya udaktari, lakini bado yule ni daktari maisha yake yote. Kukitokea dharura yoyote, utamuona siku hiyo anaingia tena wodini
Pia Mwalimu Mwalasege alikuwa ameteuliwa na Rais kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya, mwanzoni pale wakati anaanza kazi ya ualimu!
 
Sidhani kama unajua unachokizungumza mkuu.

Unajua mapadre wana taaluma mbalimbali, kuna madaktari, walimu, wahandisi n.k ?
Taaluma huzipata baada ya kuwa mapadri akishamaliza kupewa upadri ndipo hutakiwa kusomea taaluma nyingine akitaka lakini kuingia upadri huwa ni jobless akishapata job ya upadri ndio hupewa ruksa kusomea taaluma zingine


Ninachoongelea ni huu utaratibu wa kuchukua majobless na kuyapa upadri au uchungaji
 
Kusifia na kubariki yanayotendwa na watawala hapo wako sahihi??
 
Huyu alikuwa ameshastaafu ukuu wa TAG miaka mingi nyuma. Zaidi ya miaka 10 iliyopita, kuna Askofu Mkuu mwingine na si huyu aliyetwaliwa na Bwana. Tuzo aliyopewa Hayati JPM, ilikuwa ni baada ya kupambana vizuri sana na janga la Corona awamu ya kwanza. Haya mengine uliyoyasema humu unaweza kuyathibitisha, just in case?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…