johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Ni kweli kabisa.Huyu alikuwa ameshastaafu ukuu wa TAG miaka mingi nyuma. Zaidi ya miaka 10 iliyopita, kuna Askofu Mkuu mwingine na si huyu aliyetwaliwa na Bwana. Tuzo aliyopewa Hayati JPM, ilikuwa ni baada ya kupambana vizuri sana na janga la Corona awamu ya kwanza. Haya mengine uliyoyasema humu unaweza kuyathibitisha, just in case?
Unajua inachukua muda gani mpaka mtu anapata daraja la upadre?Taaluma huzipata baada ya kuwa mapadri akishamaliza kupewa upadri ndipo hutakiwa kusomea taaluma nyingine akitaka lakini kuingia upadri huwa ni jobless akishapata job ya upadri ndio hupewa ruksa kusomea taaluma zingine
Ninachoongelea ni huu utaratibu wa kuchukua majobless na kuyapa upadri au uchungaji
Kubariki kivipi? Ulishaona bajeti ya serikali ikipelekwa kanisani kubarikiwa au katiba pendekezwa au iliyopo ulishawahi ona inapelekwa kanisani kubarikiwa?Kusifia na kubariki yanayotendwa na watawala hapo wako sahihi??
Hawa maaskofu hawanaga faida, wapiga dili tu sikuwahi kumsikia akihubiri hakiKuna taarifa kwamba aliyekuwa askofu mkuu wa TAG askofu Prof Rainwell Mwenesongole ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa Upanga CCC amefariki dunia.
Taarifa zimetolewa na Sam Sasali wa Clouds tv katika ukurasa wake.
Updates;
Imethibitika ni kweli askofu Mwenesongole amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na msiba uko nyumbani kwa marehemu eneo la Makonde Mbezi beach.
Hayati Mwenesongole ni baba mzazi wa mbunge wa Mbozi George Mwenesongole.
Swala Sio muda mtu anatumia kufikia upadre issue ni kuwa kabla kuwa padre anakuwa jobless anaupata upadre akiwa joblessUnajua inachukua muda gani mpaka mtu anapata daraja la upadre?
Kila mtu huwa jobless kabla kuwa na kazi husika mkuu.
Kingine utaratibu wa kanisa katoliki huwezi linganisha na makanisa mengine.
Amekuwa askofu mkuu wa Tanzania Assemblies of God kwa miaka 14
Alichaguliwa baada ya kutokea mgogoro mkubwa wa kugombea uaskofu mkuu kati ya askofu Lazaro na askofu Moses Kulola, mgogoro huo ulipelekea Kanisa kugawanyika na askofu Kulola akajitenga na kuasisi EAGT.
Karibu.
Kama mbinguni n kariakoo
Shangaa na wewe
Yaani hayati ni wakuu wa nchi tu utafikiri wana sehemu yao mbinguni
Najua tafsiri ya hayati limepotoshwa na wahenga kwa kuiga lugha ya kiarabu
Hayati ni my life [emoji23]
Acha kulinganisha mapadri wa Kanisa Katoliki na wachungaji wa ajabu ajabu!Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Usihangaike naye huyo halijui Kanisa Katoliki kwa hoja zake wote waliopo kazini walikuwa majobles Kanisa Katoliki huanza kuandaa mapadri tangu kidato cha kwanza kwenye shule zao zinazoitwa seminari ndogo wapo wachache sana wanaopata wito wa upadri ambao hawakupitia seminari ndogo lakini lazima wapitie seminari kusomea falsafa na teolojia upadri haupatikani kwa kujitangaza mwenyeweUnajua inachukua muda gani mpaka mtu anapata daraja la upadre?
Kila mtu huwa jobless kabla kuwa na kazi husika mkuu.
Kingine utaratibu wa kanisa katoliki huwezi linganisha na makanisa mengine.
Hiyo tafsiri yako kuwa Askofu ni mtumishi wa Mungu hivyo hapaswi kuwasemea na kuwatetea wanadamu ni tafsiri potofu kwa 100%.Kazi ya Askofu ni mtumishi wa Mungu duniani sio mtumishi wa watu duniani
Watumishi wa watu duniani ni wanasiasa na fani zingine
Kumgeuza Askofu awe msemaji wa mambo ya watu duniani ni kumtoa kwenye reli hayo mambo bakini nayo huko huko kwenye vyama vya siasa,taasisi za kiraia za kupigania haki za watu, Wabunge maaskofu hawapo duniani Kwa Mambo ya jamii wao wapo kwa Mambo ya Mungu wahubiri dunia impende Mungu na kusisitiza ibada wao wanahubiri Biblia sio katiba mpya au uhuru wa maandamano au demokrasia
Alianza safari ya utumishi akiwa kijana sana na aliacha kazi ili kuhudumu kwenye injili akiwa ofisa wa juu sana serikalini. Sasa Mtumishi ameondoka kwa Amani ya BwanaKuna taarifa kwamba aliyekuwa askofu mkuu wa TAG askofu Prof Rainwell Mwenesongole ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa Upanga CCC amefariki dunia.
Taarifa zimetolewa na Sam Sasali wa Clouds tv katika ukurasa wake.
Updates;
Imethibitika ni kweli askofu Mwenesongole amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na msiba uko nyumbani kwa marehemu eneo la Makonde Mbezi beach.
Hayati Mwenesongole ni baba mzazi wa mbunge wa Mbozi George Mwenesongole.
Ni Askofu aliyewezesha wengi kumfuata Mungu, alianzisha program mbalimbali za vijana kujiendeleza kiroho na kijamii, bendi ya vijana pale CCC ectHakika mkuu.
Huduma yake ilianzia Kinondoni A miaka ile ya 1979 kisha akahamia Kisutu girls kabla ya kujenga Kanisa kubwa hapo Olympio opposite na Mzumbe.
Nafahamu kuwa alishastaafu hicho cheo cha uaskofu mkuu wa TAG, lakini hakuwahi kustaafu cheo cha uaskofu na wala hakuwahi kuacha kazi yake ya kuhubiri au kulisemea kanisa lake la TAG pale City Christian Centre. Hivyo maovu yaliyofanyika nchi hii na yeye akiwa anayaona lakini akaogopa na kukaa kimya yanamhusu kwa 100%.Huyu alikuwa ameshastaafu ukuu wa TAG miaka mingi nyuma. Zaidi ya miaka 10 iliyopita, kuna Askofu Mkuu mwingine na si huyu aliyetwaliwa na Bwana. Tuzo aliyopewa Hayati JPM, ilikuwa ni baada ya kupambana vizuri sana na janga la Corona awamu ya kwanza. Haya mengine uliyoyasema humu unaweza kuyathibitisha, just in case?
Kuondoka ameondoka lakini amani ya Bwana sina hakika kama ameenda nayo. Yaani watu wauawe, wateswe na kudhulumiwa mbele yako huku ukipiga makofi na kushangilia halafu ufe na uende na amani ya Bwana? How? Masihara haya.Alianza safari ya utumishi akiwa kijana sana na aliacha kazi ili kuhudumu kwenye injili akiwa ofisa wa juu sana serikalini. Sasa Mtumishi ameondoka kwa Amani ya Bwana
Pia akawafundisha viongozi wa TAG kuwa wanafiki mbele ya watawala.?Ni Askofu aliyewezesha wengi kumfuata Mungu, alianzisha program mbalimbali za vijana kujiendeleza kiroho na kijamii, bendi ya vijana pale CCC ect
Acha upumbafu wewe..manabii na mitume walikemea wazi wazi watawala wabovu na wala hawakuogopa..unadhani kichwa cha yohana mbatizaji kilikatwa kwasababu gani?.Kazi ya Askofu ni mtumishi wa Mungu duniani sio mtumishi wa watu duniani
Watumishi wa watu duniani ni wanasiasa na fani zingine
Kumgeuza Askofu awe msemaji wa mambo ya watu duniani ni kumtoa kwenye reli hayo mambo bakini nayo huko huko kwenye vyama vya siasa,taasisi za kiraia za kupigania haki za watu, Wabunge maaskofu hawapo duniani Kwa Mambo ya jamii wao wapo kwa Mambo ya Mungu wahubiri dunia impende Mungu na kusisitiza ibada wao wanahubiri Biblia sio katiba mpya au uhuru wa maandamano au demokrasia
Naona huelewi unachokizungumza hasa kwa wakatoliki.Swala Sio muda mtu anatumia kufikia upadre issue ni kuwa kabla kuwa padre anakuwa jobless anaupata upadre akiwa jobless