GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mungu ambariki sana

Nimefanya naye kazi Ludewa 1980s akiwa OCID miye nilikuwa Njolumacu 😂😂
 
Shushu at work
 
kwa hiyo ndio ameenda kuwachunguza huko.
 
Ukistaafu jeshi la polisi, Bado unapokea amri za boss zako...yaani ni ndio mkuu nitafanya😂. Hawana kusema hapana, amri wanaendelea kuzipokea mpaka kifo Chao ..tuwe nao makini hawa
 
Hiii ni mipango ya CCM kukifanya ACT chama kikubwa cha upinzani wengi watahamia huko
 
Akiwa RPC Mwanza alikuwa anakata mauno na machangudoa pale live band Mwanza Hotel, takataka kabisa
 
Yaani hii michadema lazima ituhumu yenzao ilivyo milafa. Yenyewe imetoka viongozi na wanachama kibaaaao kwenda ccm lakini Wala haijisemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…