GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu Mzee msanii!
 
Watu wa idara wanaenda kufanya KAZI ya ccm wazalendo Kwa upinzani feki kimfumo!

KAZI na utu tunasonga mbele!
 
Mpina anatakiwa awe makini sana huyu katumwa kufuatilia nyendo za mwanakisesa so awe mbele ya wakati sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…