LEngo lote ni kupoteza umaarufu wa Chadema, wasio na akili watahisi mzee anaikomoa ccmMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Hivi cdm ilikiri kufanya upuuzi kwa kumchukua Lowassa au ni sie tu ndio tunaita upuuzi?Ule upuuzi cdm walifanya 2015 wa kumuokota Lowassa hautakaa urudiwe tena.
Hakika nakwambia wapo wananchi wengi watashiriki kupiga kura.Maccm yana tafuta namna ya kubalance uchaguzi ili uonekane umefanyika vizuri na kulikuwa na ushindani mkali. Kikubwa hapa ni wananchi kutulia majumbani na hakuna haja ya kenda kwenye kampeni zao na siku ya kupiga kura hakuna kwenda wajipigie wenyewe.
Na alikuwa military intelligence officerYule Marehemu Ali Kibao alikuwa anamjua nani?
Chadema ni chama cha watakatifu, huwa hakikoseiHivi cdm ilikiri kufanya upuuzi kwa kumchukua Lowassa au ni sie tu ndio tunaita upuuzi?
Kwa sababu wenye tamaa hawapo tena ?Ule upuuzi cdm walifanya 2015 wa kumuokota Lowassa hautakaa urudiwe tena.
Huyo bado ni Kamishna wa Jeshi la Polisi.Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Halafu kilikuwa kinaaminisha watu kuwa chenyewe tu Tanzania ndio chama pekee cha kweli cha upinzani ila kumbe ndani kilikuwa na mipandikizi.Chadema ni chama cha watakatifu, huwa hakikosei
Wana kopi na kupesiti hawana muda, Ya Juumtotowakiume na Wetvery mmeyasahau mara hii?....leo Jumanne Agosti 5, 2025,...
Huyu na uzee huu ana kipi kipya?Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
ni riafande fulani ristaafuNi nani huyu Mtu?
mshiriki wa kipindi cha malumbano ya hoja, kila kipindi yupo pale akichangia hojaAlikuwa polisi,alikuwaga mtu poa sana na mwanamichezo hakuwaga na unoko wa kivile
Ova
Ni mapema mno kusema,tusubiri matokeo.Huyu ni project ya ccm