TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Kwa hiyo unataka kusema wote waliopata Corona,walikua hawachukuwi tahadhari!?
 
wabongo mnaakili ndogo za kipuuzi kweli kweli,kila kifo ni Corona?

kabla ya neno Corona huko mahospitalini kila siku walikua watu wakifa na kuzikwa..kila siku iendayo kwa MUNGU. Hivi hizi akili za kipumbavu namna hii mnatoa wapi?
Wewe nawe. KWANI ULITAKA WAFE NA NINI??? 😬😬😬😬😬
 
Nina hakika wewe UNA MATATIZO YA AKILI! Hivi kwako kila kifo - chanzo na sababu yake ni Corona? Kweli? Au na wewe ni kati ya wale waj**** wachache mnaolipwa vijisenti kuropokaropoka mambo ya upuuzi humu JF?
Kwani ulitaka WAFE na nini?
 
AC, Air Conditioner, ninahisi watumiaji wa AC wapo kwenye hatari zaidi ya kupata madhara makubwa ya Corona
 
Kwa hiyo unataka kusema wote waliopata Corona,walikua hawachukuwi tahadhari!?
Here we go again..... ''Kwa hiyo....''. Watu wenye kawaida ya kuanza sentensi na maneno ''kwa hiyo.....'' kwenye mijadala mara zote wanafanya wrong conclusion. Ni nani kasema wote waliopata walikuwa hawachukui tahadhari ndugu wee? Kuna wengine wamechukuwa tahadhari zote lakini mpumbavu mmoja asiyechukuwa tahadhari akasababisha waambukizwe. Ndiyo maana tunasema kila mtu achukuwe hatua.
 
Maandiko hayaja wahi kusema uongo. Hata uwe na kiburi kiasi gani.. Utakufa tuu..
 
Njia nzuri ya kuishinda Corona ni kuimarisha Kinga zako za Mwili,haya ya Barakoa ni kujiongezea matatizo kwenye swala zima la upumuwaji,hasa wale wenye pumu toka wakiwa wadogo!!
 
Mkuu woga umetanda kila mahali....kilichobakia ni kujikabidhi tu kwa Mungu maana hali imeshakuwa mbaya sana......
 
Njia nzuri ya kuishinda Corona ni kuimarisha Kinga zako za Mwili,haya ya Barakoa ni kujiongezea matatizo kwenye swala zima la upumuwaji,hasa wale wenye pumu toka wakiwa wadogo!!
You are totally wrong. Kuna mamilioni ya watu ambao hata wangefanya juhudi namna gani kuongeza kinga lakini wakipata corona itakuwa fatal. Ndiyo maana nasema watanzania wengi hatuko informed na suala zima la corona kwa hiyo tunakuja na dhana potofu nyingi. Nchi wanazotumia barakoa wametoa mwongozo kabisa... ''kwa wale wenye matatizo ya kiafya wanapovaa barakoa basi wasivae''. Pia kuvaa barakoa mtu havai muda wote. Ni pale unapokuwa kwenye sehemu ambayo ina watu wengi na social distance haiwezekani.
 
RIP DK WANGU
TUNAKUFA NA HOFU NDIO. MAANA MNAMBIWAAA MTAKUFAA
MZEE ALIUMWA B4 HIZI MIELEKA KILA AKIFA MTU CORO

MTAISHAAAA WOTEEEE KWA HOFUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…