TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Watu wanaojiunga na Ma-FreeMason ni Matajirina wafanya biashara wakubwa Duniani sio chama cha mchezo kujiunga nacho. huku nilipo Ughaibuni kuna baadhi ya marafiki zangu ni matajiri wamo kwenye Chama hicho cha FreeMason wananijaribu kunishawishi nijiunge ili wapate kunisaidia niwe mtu Maarufu duniani katika kutibu Dawa za asili ninawakatalia kwani masharti yao ni magumu ukifanya makosa wanakuuwa mimi siwezi masharti ya kishetani.
uwoga wako ndio umasikini wako
 
Ila huyu jamaa alikuwa anatisha na Videvu na macho yale utafikiri Carl Peters.

Alikuwa rafiki mkubwa wa Bamkubwa Mkapa na yeye ndio aliyempeleka huko.

Apumzishwe mahala anapostahili.
Aliyempeleka wapi?
 
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamakutana naye.
Faru John sijui alikuwa anangoja nini?
Kama kuna mwenye picha ya Faru John akiwa na Chande atuwekee hapa.
 
Watu wanaojiunga na Ma-FreeMason ni Matajirina wafanya biashara wakubwa Duniani sio chama cha mchezo kujiunga nacho. huku nilipo Ughaibuni kuna baadhi ya marafiki zangu ni matajiri wamo kwenye Chama hicho cha FreeMason wananijaribu kunishawishi nijiunge ili wapate kunisaidia niwe mtu Maarufu duniani katika kutibu Dawa za asili ninawakatalia kwani masharti yao ni magumu ukifanya makosa wanakuuwa mimi siwezi masharti ya kishetani.
Masharti gani hayo magumu
 
RIP Jayantilal Keshavji Chande! At last uko na Rajani!
 
Kwanini wasife?kwani wao sio binadamu? Mbona Wanachama wa Chama cha kupiga Punyeto Tanzania aka (Chapuwata) wanakufa kila siku kwa kupiga punyeto? itakuwa ni chama cha FreeMason?
Hahahaha
 
Maziko lini?

Natamani kuona u tofauti wa wao kuzikwa. .

Au atapaa kama yule wa Siloam?
 
Kumbe viongozi wetu nao wamo,tazama hizo "shandshakes".
 
Back
Top Bottom