Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Watu wanaojiunga na Ma-FreeMason ni Matajirina wafanya biashara wakubwa Duniani sio chama cha mchezo kujiunga nacho. huku nilipo Ughaibuni kuna baadhi ya marafiki zangu ni matajiri wamo kwenye Chama hicho cha FreeMason wananijaribu kunishawishi nijiunge ili wapate kunisaidia niwe mtu Maarufu duniani katika kutibu Dawa za asili ninawakatalia kwani masharti yao ni magumu ukifanya makosa wanakuuwa mimi siwezi masharti ya kishetani.