TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

watu wazito kuelewa, mtu akiwa freemason haimaanishi kuwa hana dini
watu kundi lao wanaamini kwenye jamii kuna the choosen ones ambao ndo hukutana huko ufreemason na kujadili namna ya kusaidia jamii kwa kuiathiri kimtazamo kupitia sayansi. a sanaa
Sasa si ndio maana tunasema akayathibitishe hayo aliyoyaamini!
 
Death is for everyone Even your Prophets Die, No any living things will escape the Death, We still seek out how to eliminate Death at all, we know this is a problem, Scientist we are in progress to figure it out
umenifurahisha sana scientist nadhal hapo ndo break yenu na mbwembwe zenu akil zenyewe za kufigure out za kupewa do u think u will succed!
 
umenifurahisha sana scientist nadhal hapo ndo break yenu na mbwembwe zenu akil zenyewe za kufigure out za kupewa do u think u will succed!
Who give us intelligence? Human being is God himself
 
Nope! Kiwanda cha pepsi kilikuwa chako, na ana shares kubwa Tigo ana maduka ya madawa, ujanja mwingi! Yeye na Ladwa ni mtu na mkwe wake! Owner wa Golden Tulip, ndiyo walikuwa wamejipanga kujenga hotel nyingine pembeni yake, mh Lukuvi akawapiga stop! Kibali cha kujenga kilitolewa na awamu ya nne! Mola anaipenda sana sana nchi yetu walahi
Sijui kwanini wanawasifu hawa jamaa. Wameisambaratisha sana hii nchi. They are so greedy
 
Who give us intelligence? Human being is God himself
if that could be the case we could do anything at its best including those beyond our mind like the one who gave us does.Even the devil deceive himself that he can resemble the Almighty that where he rotten to hell and still doesn't believe he is defeated like those scientist.hahaaaa! u better wake b4 its too late to figure out.
 
Human intelligence is not limited as ur God u believe, It's matter of Time my dear, When waken up someone who burried 1000yrs ago He will wonder n can't believe if this the earth that his left, Mind is very powerful, It grows up day by day, I hope so Years ahead human will be able to stay there without fear of Death, They will be deathless as We believe death is the problem like malaria or cholera So we are still on progress to find out the solution, Devils are not exist anymore just like a God its just a myth
 
Sijui kwanini wanawasifu hawa jamaa. Wameisambaratisha sana hii nchi. They are so greedy
Huu ndiyo mwisho wao wapende wasipende! Mama Tanzania amesha washtukia! Wame kwishney kabisa!
 
usipotoshe maandiko ulipoambiwa Ombeni chochote uliambiwa maana yake uwaombee hadi wafu?? We unaumwa siyo mzima,MTU asipotubu mwenyewe kabla ya kifo na kujikabidhi mwenyewe upande wa Kristo Hakuna yeyote anayeweza kumuombea heri au kubadilisha hukumu kama ni Jehanamu ni jehanam 2 kama ni uzima wa milele ni uzima wa milele tu hivyo tunapasawa kuishi maisha matakatifu na kutubu dhamabu zetu kabla mauti hayajatufika Hakuna cha RIP au mdogo wake RIP kama Chande Alimrudia MUNGU na kutubu dhambi zake ataurithi uzima wa milele kama ni kinyume na hivyo ni Moto
period
 
Hayo unayoyapinga unathibitshaje kuwa wewe uko sahihi? Sahihi wako unaupata wapi? Unajuaje kuwa siyo shetani nayekuaminisha hivyo?
 
Ndiyo ni chande. Lakni nimemuona na dayamond hapo ndo maana nikauliza hivo
Siyo Chande, ila member ambaye ni boss wa ukanda wa Afrika Mashariki based in Kenya kama sijakosea na habari hii iliwahi kutolewa baada ya kifo cha S.Kanumba
 
Kwa kweli huyo ndiyo mzizi wenyewe na sasa umeng'olewa wote! Hawana nguvu tena milele! Nguvu zao zimerudi kwa Mwenyewe The One and only Supreme Creator!
samahan isis who is this suprime creator ?
 
Back
Top Bottom