imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
ISIS hebu weka wazi japo kidogo.ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ISIS hebu weka wazi japo kidogo.ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry..
MavumbiniAendee wap mama?
Ok..nilifikiri ikulu mkuu.......Mavumbini
Ok! Nipe time kidogo brotherISIS hebu weka wazi japo kidogo.
Sasa si ndio maana tunasema akayathibitishe hayo aliyoyaamini!watu wazito kuelewa, mtu akiwa freemason haimaanishi kuwa hana dini
watu kundi lao wanaamini kwenye jamii kuna the choosen ones ambao ndo hukutana huko ufreemason na kujadili namna ya kusaidia jamii kwa kuiathiri kimtazamo kupitia sayansi. a sanaa
umenifurahisha sana scientist nadhal hapo ndo break yenu na mbwembwe zenu akil zenyewe za kufigure out za kupewa do u think u will succed!Death is for everyone Even your Prophets Die, No any living things will escape the Death, We still seek out how to eliminate Death at all, we know this is a problem, Scientist we are in progress to figure it out
Who give us intelligence? Human being is God himselfumenifurahisha sana scientist nadhal hapo ndo break yenu na mbwembwe zenu akil zenyewe za kufigure out za kupewa do u think u will succed!
Sijui kwanini wanawasifu hawa jamaa. Wameisambaratisha sana hii nchi. They are so greedyNope! Kiwanda cha pepsi kilikuwa chako, na ana shares kubwa Tigo ana maduka ya madawa, ujanja mwingi! Yeye na Ladwa ni mtu na mkwe wake! Owner wa Golden Tulip, ndiyo walikuwa wamejipanga kujenga hotel nyingine pembeni yake, mh Lukuvi akawapiga stop! Kibali cha kujenga kilitolewa na awamu ya nne! Mola anaipenda sana sana nchi yetu walahi
if that could be the case we could do anything at its best including those beyond our mind like the one who gave us does.Even the devil deceive himself that he can resemble the Almighty that where he rotten to hell and still doesn't believe he is defeated like those scientist.hahaaaa! u better wake b4 its too late to figure out.Who give us intelligence? Human being is God himself
if that could be the case we could do anything at its best including those beyond our mind like the one who gave us does.Even the devil deceive himself that he can resemble the Almighty that where he rotten to hell and still doesn't believe he is defeated like those scientist.hahaaaa! u better wake b4 its too late to figure out.
Huu ndiyo mwisho wao wapende wasipende! Mama Tanzania amesha washtukia! Wame kwishney kabisa!Sijui kwanini wanawasifu hawa jamaa. Wameisambaratisha sana hii nchi. They are so greedy
periodusipotoshe maandiko ulipoambiwa Ombeni chochote uliambiwa maana yake uwaombee hadi wafu?? We unaumwa siyo mzima,MTU asipotubu mwenyewe kabla ya kifo na kujikabidhi mwenyewe upande wa Kristo Hakuna yeyote anayeweza kumuombea heri au kubadilisha hukumu kama ni Jehanamu ni jehanam 2 kama ni uzima wa milele ni uzima wa milele tu hivyo tunapasawa kuishi maisha matakatifu na kutubu dhamabu zetu kabla mauti hayajatufika Hakuna cha RIP au mdogo wake RIP kama Chande Alimrudia MUNGU na kutubu dhambi zake ataurithi uzima wa milele kama ni kinyume na hivyo ni Moto
Siyo Chande, ila member ambaye ni boss wa ukanda wa Afrika Mashariki based in Kenya kama sijakosea na habari hii iliwahi kutolewa baada ya kifo cha S.KanumbaNdiyo ni chande. Lakni nimemuona na dayamond hapo ndo maana nikauliza hivo
samahan isis who is this suprime creator ?Kwa kweli huyo ndiyo mzizi wenyewe na sasa umeng'olewa wote! Hawana nguvu tena milele! Nguvu zao zimerudi kwa Mwenyewe The One and only Supreme Creator!