Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipowabugudhi waislam nafsi yako haifurahi?Huyo ni Allah anasikia kiarabu tu, ila Mungu anasikia lugha zote.
Waislamu ndio waleta bugudha, haya wale Wacoptic wamewakosea nini mpaka mnaenda kujilipuwa makanisani mwao Egypt?Usipowabugudhi waislam nafsi yako haifurahi?
Unataka uhamishe huu uzi uhamie kwengine, wale wanaouliwa Africa ya kati sio watu, na wale wanaouliwa Burma na si watu, na bado hao wanaouliwa kila kukicha Syria kwa kutengeneza makundi ya kimaslahi na kuyapa majina ya kunasibishwa na uislam, Wale nao si watu au Muislam hastahili kuishi ila makafiri ndio hati miliki ya hii dunia?Waislamu ndio waleta bugudha, haya wale Wacoptic wamewakosea nini mpaka mnaenda kujilipuwa makanisani mwao Egypt?
Makafir ndio watu gani hao?Unataka uhamishe huu uzi uhamie kwengine, wale wanaouliwa Africa ya kati sio watu, na wale wanaouliwa Burma na si watu, na bado hao wanaouliwa kila kukicha Syria kwa kutengeneza makundi ya kimaslahi na kuyapa majina ya kunasibishwa na uislam, Wale nao si watu au Muislam hastahili kuishi ila makafiri ndio hati miliki ya hii dunia?
Hakuna aliyejitoa kwenye hoja ya Mungu, wewe mwenyewe unajua Mungu yupo, ndio maana huwa unaabudu mungu fulani. Kinachokutesa unajua mungu unayemuabudu sio wa kweli ila umejiingiza kwenye mikataba mizito ambayo huwezi kutoka na umekuwa mtumwa wa hiyo mikataba, sasa unataka kuvuruga watu ili wao nao wawe watumwa kama wewe.Unajuaje kwamba wewe ndiye utakayemsaidia yeye na si wewe ndiye utakaesaidwa?
Ushaanza kujitoa kwenye hoja ya Mungu?
Badoo upo .wapi siku hizii Shambala veeveeMakafir ndio watu gani hao?
Naabudu Mungu gani na umejuaje kwamba naabudu Mungu huyo?Hakuna aliyejitoa kwenye hoja ya Mungu, wewe mwenyewe unajua Mungu yupo, ndio maana huwa unaabudu mungu fulani. Kinachokutesa unajua mungu unayemuabudu sio wa kweli ila umejiingiza kwenye mikataba mizito ambayo huwezi kutoka na umekuwa mtumwa wa hiyo mikataba, sasa unataka kuvuruga watu ili wao nao wawe watumwa kama wewe.
Nina habari njema kwako,unaweza kutoka kwenye hiyo mikataba kiulaini na ukawa salaam na ukaipata furaha ya kweli ya maisha, huko hakuna furaha ndio maana unateseka rohoni mwako. Usiogope msaada upo
Sikisii nina uhakika, usipotezee, jifikirie sana na ufanye uamuzi wa kiume utakaokuletea manufaa ya milele. Nina uhakika wewe unaabudu mungu anajejua vizuri siyo wa kweli, na kwa sababu msaada upo usipotozee na usiipoteze fulsa hii. Fikiria sana unapotaka kujibu na usipoteze fulsa hii ya msaada kwakoNaabudu Mungu gani na umejuaje kwamba naabudu Mungu huyo?
Au unakisia kisia tu kama unavyokisia habari za kuwepo kwa Mungu?
Hujajibu maswali yangu. Narudia.Sikisii nina uhakika, usipotezee, jifikirie sana na ufanye uamuzi wa kiume utakaokuletea manufaa ya milele. Nina uhakika wewe unaabudu mungu anajejua vizuri siyo wa kweli, na kwa sababu msaada upo usipotozee na usiipoteze fulsa hii. Fikiria sana unapotaka kujibu na usipoteze fulsa hii ya msaada kwako
Siyo kila kitu kinaweza andikwa humu; ila wewe nina uhakika unamjua mungu unaemwabudu. Na kwa sababu unamjua sihitaji kukutajia. Hitaji langu na upendo wa Mungu wa kweli ni usalama wa roho yako Huko uliko si salama.Hujajibu maswali yangu. Narudia.
Naabudu Mungu gani na umejuaje kwamba naabudu Mungu huyo?
Hujajibu swali.Siyo kila kitu kinaweza andikwa humu; ila wewe nina uhakika unamjua mungu unaemwabudu. Na kwa sababu unamjua sihitaji kukutajia. Hitaji langu na upendo wa Mungu wa kweli ni usalama wa roho yako Huko uliko si salama.
Dig deep down utamjua. Kumepwaya nini ndugu?Hivi hii nafasi ya huyu baba ni nani kaichukua?
Naona kuna kitu kimepwaya!
Hivi hii nafasi ya huyu baba ni nani kaichukua?
Naona kuna kitu kimepwaya!
nimechukuwa mimi Ukuu wake......😀Hivi hii nafasi ya huyu baba ni nani kaichukua?
Naona kuna kitu kimepwaya!